Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you know the reason I call you a Quack? It’s because you are ignorant. Mtu mzima anajiita CO lakini hajui there’s something called spelling error and autocorrect. Wewe on the other hand you don’t know anything about microorganisms, you don’t know how they spread, how they diagnosed, you don’t know how they are prevented and finally you don’t know how they are killed and treated.

You are a Quack.
*Kuhusu naming najua vizuri tu ndio maana nikafanya mtihani nikafaulu.
Ila sikutaka kubishana kwasababu kwangu ni trivial issue.
Kikubwa niliandika jina kiusahihi.

WEWE MSENGE UNAYENIAMBIA SIJUI KUHUSU MICROBIOLOGY WALA MEDICAL IMPORTANCE ZAKE NILIKUULIZA HAYA MASWALI JE ULIJIBU?
*SPORE MOJA KWA MOJA IPO KATIKA STAGE YA KUENEZA MAGONJWA??
*MEDICATED SOAP ZINA INGREDIENTS ZIPI ZA KUUA VIJIDUDU?
*WHAT IS SANITIZATION??
*NI KEMIKALI ZIPI ZINAWEZA KUMUUA CLOSTRIDIUM DIFFICILE??

JE ULIJIBU HAYA MASWALI??
NIKAKWAMBIA HYPOCHLORITE INAUA CLOSTRIDIUM DIFFICILE NA HIYO IPO KATIKA DETTOL.
HUJUI UKAWA UNABUNG'AA TU.

AYA NATAKA UNIJIBU HAYO MASWALI HAPO JUU.
UKIJIBU AM LOGGING OUT OF JF FOR GOOD.
Difficile yenyewe hujui UNAANDIKA DIFFICLE.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nataka majibu ya hayo maswali uliyoshindwa kujibu kule nyuma.
 
Uhalisia zinazo mkuu tuwapongeze.
Wamepanda nafasi baada ya kushinda mechi ya Afcon qualifier.
Shida inakuja kuna nchi hapo katikati hazijacheza.
Pia aombee asifungwe kwenye kundi lake la Afcon,maana ana timu ngumu kwenye kundi lake.
Uhalisia hakuna, wao wameshinda mechi ngapi kwenye kundi lao na sisi tumeshinda ngp? Kwann wapande nafasi nyingi kuliko sisi, alafu sisi tumeshinda ugenini wao wameshinda nyumbani. Hapo katikati walifungiwa na sisi tukaenda mpaka Afcon inakuaje ibaki hivyo hivyo kila siku, kuna baadhi ya timu zipo juu ya Tanzania na hata kwenye mashindano makubwa huzioni, kuna walakini sn.
 
Coastal Union football club bus🇹🇿🇹🇿

20240920_111716.jpg
 
Uhalisia hakuna, wao wameshinda mechi ngapi kwenye kundi lao na sisi tumeshinda ngp? Kwann wapande nafasi nyingi kuliko sisi, alafu sisi tumeshinda ugenini wao wameshinda nyumbani. Hapo katikati walifungiwa na sisi tukaenda mpaka Afcon inakuaje ibaki hivyo hivyo kila siku, kuna baadhi ya timu zipo juu ya Tanzania na hata kwenye mashindano makubwa huzioni, kuna walakini sn.
Hamna mkuu.
Timu alizozipita Kenya hazijacheza mashindano ikiwemo Tajikistan.
Ndio maana nikasema hizo timu zikicheza mechi zake basi Kenya huwenda akashuka.
Timu ulizozipita wewe na zilizopo juu yako zinafanya vizuri kaka.
 
Mlienda AFCON mkalose games zote😂😂.

Each game lost always results in point deduction. The deduction also widens with the goals conceded.
 
Hamna mkuu.
Timu alizozipita Kenya hazijacheza mashindano ikiwemo Tajikistan.
Ndio maana nikasema hizo timu zikicheza mechi zake basi Kenya huwenda akashuka.
Timu ulizozipita wewe na zilizopo juu yako zinafanya vizuri kaka.
Kwani nyinyi zenye mmepita zishacheza?

Alafu timepita Namibia and yet Namibia ishacheza. Tuliwagonga kwao 2-1. Tajikistan ilicheza last week.
 
Kwani nyinyi zenye mmepita zishacheza?

Alafu timepita Namibia and yet Namibia ishacheza. Tuliwagonga kwao 2-1. Tajikistan ilicheza last week.
Katika nafasi sita mmewapita wawili tu au siyo?
Tajikistan na Namibia!??
Tulia bado Afcon qualifier haijaisha.
Ombeeni Mungu msifungwe.
 
Back
Top Bottom