Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
😂😂 hii naiunga mkono. Lakin kutumia BRT lanes kusiwekewe sheria kali sana. 😂😂😂 if you know, you know.SGR na BRT natamani zitungiwe sheria kali kwa waaribifu.
😂😂 hii naiunga mkono. Lakin kutumia BRT lanes kusiwekewe sheria kali sana. 😂😂😂 if you know, you know.SGR na BRT natamani zitungiwe sheria kali kwa waaribifu.
Municipal houses in Kenya 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kisumu
The municipal houses on the right side do be demolished and replaced with a 17 floors 18 towers.
View attachment 3099677
Yap ni official mzigo wetu huu.Official BRT 2
View attachment 3100186
Hawa jamaa tutawauwa kwa pressure 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Official BRT 2
View attachment 3100186
Tutawauwa haki ya mama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yap ni official mzigo wetu huu.
Naaam, uko hapo Mombasa umetoka karakana Naipori unakuja Bongo in Teargas voice😂😂😂Yap ni official mzigo wetu huu.
Kwani unadhani kuna battle humu ndani.? 😂😂 waamue tu kubaki humu kujitia pressure, sisi gari tulishaliwasha saivi linakimbia mbio nyingi mno.Tutawauwa haki ya mama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunavyonunua hizi buses kwa wingi kiasi hiki, sio ajabu ukakuta golden dragon wenyew kufungua assembling plant Tz.Naaam, uko hapo Mombasa umetoka karakana Naipori unakuja Bongo in Teargas voice😂😂😂
Saanaa, alafu ule utaratibu wa kupanga foleni utiliwe mkazo, watu wa Mbagala wabadilike, yale mambo ya kugombania tuwaache Uganda Kenya na Burundi kusikokuwa na modern infrastructures.SGR na BRT natamani zitungiwe sheria kali kwa waaribifu.
Dustbin zimekua jiji?
Do you want to tell me mko level moja Irizar?Hivi irizar ni coach builder ama coach fabricator? Jibu hilo utaona ulivyo mjinga.
Na wewe unavuruga? 😂 Mimi huwa naingilia pale kituo cha Posta ya Zamani (sema gari inaruhusu😂. Napita ila roho inaniuma nimevunja sheria na nimezidisha uhuru.😂😂 hii naiunga mkono. Lakin kutumia BRT lanes kusiwekewe sheria kali sana. 😂😂😂 if you know, you know.
Eti tulishaachana nayo, wakati umeyakosa konza ukaweka dustbin 🤣🤣Mambo ya gorofa tulishaachana nayo Mr. Watchman. Are you aware that Westlands alone has more buildings above 30 floors than the entire Tanzania?