RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,503
- 135,508
Nitaamini nikiiona kwa macho yangu ikiwa barabarani.Za chini ni kwamba BRT inaleta hizi 👇👇 Scania marcoplo G7, route ya mbagala!🇹🇿🇹🇿
View attachment 3099904
Nitaamini nikiiona kwa macho yangu ikiwa barabarani.Za chini ni kwamba BRT inaleta hizi 👇👇 Scania marcoplo G7, route ya mbagala!🇹🇿🇹🇿
View attachment 3099904
Wewe ndio ulianzisha huo mjadala😂😂😂🤣.Mimi sijui huo mjadala umetokea wapi bali I responded spontaneously
When you invest I. Government bonds when Ksh to dollar is 99 and then Ksh depreciate to 150 that means that your money will have increase by 51 shillings. Mbona hesabu kama hizo zinakuchanganya?😂😂🤣😂Hata hizo bonds mkuu ni shida pia. Mfano umeweka bond yako wakati ksh was 99 to a dollar na ksh ika depreciate to 150 to a dollar kama last time ilivyotokea wewe utapata faida gani hapo?
In money markets you have no control of your money and its safety you can loose hela maramoja.
Leta evidence 😂😂🤣hiyu bus zake kama sio singapore basi south africa mzee wala usijidanganye 😂😂
hii ndio kitu ya over 18 good yrs 😂😂😂😂
prove ww imetoka kenya 😂😂😂Leta evidence 😂😂🤣
zimetoka kenya au sio Teargas 😂😂😂Za chini ni kwamba BRT inaleta hizi 👇👇 Scania marcoplo G7, route ya mbagala!🇹🇿🇹🇿
View attachment 3099904
mpaka mbingu na vilivyomo vimekula makeup na eye shadow😂😂😂😂😂
eti zimetoka kenya utuambie mapema😂😂prove ww imetoka kenya 😂😂😂
siku hzi zinakuja kupitia dar port😂😂😂prove ww imetoka kenya 😂😂😂
Kujeni mseme hapa ni Dubai pia.View attachment 3099941
Msaidie kwanza kujibu ile gari iliyokua inashushwa kwenye ndege ilikua jkia au dubai?