Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiona beberu anakwambia hiyo ishu ni mbaya ujue most likely ni nzuri.

Yaani 30% ndio iwe mbaya? Wakaze hapo hapo 👇👇
Screenshot_20240919-050806.jpg


View: https://x.com/TheAfricaReport/status/1836360519269183956?t=hCayGnPN9FgEYn5NoNZ-UA&s=19
 
SGR na BRT natamani zitungiwe sheria kali kwa waaribifu.
Kweli, management na civilization ni vitu adimu sana kwa taasisi za serikali na wananchi ila nimekuja kufanya utafiti nikaona maintenence ndio issue, yaani serikalini mara nyingi hawana periodic service hata kama hitilafu sio kubwa, wenyewe wanataka waone vioo vyote na viti hakuna kabisa ndio wapeleke service, kwa wenzetu hata kama hakuna hitilafu inayoonekana kwa macho ni lazima property ifanyiwe maintenance na check-up kwa kufata ratiba.
 
Back
Top Bottom