ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,458
- 89,880
Ni Kiingereza huelewi ama ni ujinga unejaza kwa kichwa?Do you want to tell me mko level moja Irizar?
Vumbistan haina estate roads. Zote ni vumbi Hadi kwa mitaa ya Kifahari. Nairobi mitaa yote ina lami at least 50% na Kuna mitaa mingine mingi lami ni 100%. Ndio maana tunawaita Vumbistan.Alafu why unaita Bongo Vumbistan wakati Nairobi limejaa mpaka tunafikiria kuimport vumbi
Hilo jina lilikuwa lao, tulikuwa tunaiita vumbistan baadaye NDINDA akawabatiza kundustan na wao ndiyo wakaiga jina la vumbistan lkn ni lakwao kutokana na Nairobi kujaa vumbi everywhere.Alafu why unaita Bongo Vumbistan wakati Nairobi limejaa mpaka tunafikiria kuimport vumbi
Kipigo kingine kinakuja 😂 Mwaka mbaya sana kwa watufudenge 😂
View: https://www.instagram.com/reel/DABdkb_pGt1/?igsh=emJtNmRrOWppZGh5
Count me too. DahNitaamini nikiiona kwa macho yangu ikiwa barabarani.
CBD tu ina vumbi na matope ndiyo mitaani kukose vumbi 👇👇🤣🤣🤣Vumbistan haina estate roads. Zote ni vumbi Hadi kwa mitaa ya Kifahari. Nairobi mitaa yote ina lami at least 50% na Kuna mitaa mingine mingi lami ni 100%. Ndio maana tunawaita Vumbistan.
CBD 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣Vumbistan haina estate roads. Zote ni vumbi Hadi kwa mitaa ya Kifahari. Nairobi mitaa yote ina lami at least 50% na Kuna mitaa mingine mingi lami ni 100%. Ndio maana tunawaita Vumbistan.
Watu hawawezi kuhudumia Chinese buses wataweza hizo bus za mzungu? Wanataka kupiga hela za walipa kodi tu.Count me too. Dah
Ana mdomo mrefu huyoEti chuchunge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3100267
Kwa hiyo umekimbilia Kiingereza?Ni Kiingereza huelewi ama ni ujinga unejaza kwa kichwa?