Kipigo kingine kinakuja 😂 Mwaka mbaya sana kwa watufudenge 😂
View: https://www.instagram.com/reel/DABdkb_pGt1/?igsh=emJtNmRrOWppZGh5
Bongo kweli noma hadi Scania Marcopolo G7 mnafanya daladala haya ni matusi makubwa sana 🤣🤣🤣🤣
Mamaeeeee bongo sihami ng'oo