Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa your mobile wallet najua hata huna Ksh 1,000😂😂😂.

MPESA huku Kenya ni mobile wallet na kazi yake kuu ni ya temporarily keeping emergency money. Majority of money people keep kwa Saccos and MMF. Alafu sasa how come unakubaliana na hiyo MPESA balance lakini payment ya 10,000 kwa hoteli unapinga?😂😂🤣😂

Lakini nimependa sana vile nimekutesa😂😂🤣
Hawa huwa wanakubaliana na wanachokitaka kuskia, sio ukweli.😂
Mwambie akuonyeshe MPESA balance yake uskie hadithi.😂
 
Tuwaongezee maumivu kidogo.
Just so they know, there is a whole new terminal being built hapo Zanzibar, hiyo terminal wanaona it's already at its full capacity.
There is also a new terminal for VIP and business jet travellers being built too.
By mwakani Zanzibar airport will be on a whole another level

View: https://youtu.be/153v_6OxHes?si=7wuheA5fXeViiL_P
 
Tatizo lenu no dharau, sasa hapo juu kuna kitu gani kipya hapo? Labda namba ya MMF companies mnatuzidi ila zipo za kutosha, mpaka a halal one

Sacco's huku ni vikoba, uliza uambiwe. Halafu hizo MMF mnaziuza kama safe investments, yani 100%safe........
Na haya madeni yenu,acha tuone siku bomu likiripuka.
How many of you even understand how money market works? Let alone having account in one. Kwanza I’m sure majority of Tanzanians hata hawajawaiskia something like money market na wale wenye JF wenye wameskia that name they knew it from me😂😂.

Saccos za Tanzania ni kama merry go round za Kenya, we call them digging a pit and putting your money inside, after 1 yr if you come back nothing will be added on top of whatever you saved.
 
Mtu maskini mpanda matatu Ana brag kuwa na hela ambapo kimsingi hauna 😂😂😂 inafurahisha sana.
 
Mtu maskini mpanda matatu Ana brag kuwa na hela ambapo kimsingi hauna 😂😂😂 inafurahisha sana.
Wewe baboon mambo vipi. I just invested this today morning in a MMF account.

Again you can't brag of what you don't have😂😂
Screenshot_20240918-082058_1.jpg

1726639748096.png
 
We all know wewe ni errand boy wa mwarabu na pesa anakulipa per can't even reach 10k and that's why unalishwa na msichana wa watu😂😂😂
Sishangai Haya maneno kwasababu yanatoka kwenye kinywa cha maskini mpanda matatu 😂😂
 
Back
Top Bottom