ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,418
- 88,511
Alitaka makaburini kuwe na lami, wakenya ni wasenge sn, waongo waongo mnoo, tangu lini mabasi ya Tanzania yakatembea kwenye vumbi, uongo huu ndiyo walikuwa wanaitumia miaka ilee kuipaka matope Tanzania mbwa hawa.Sasa na utuambie Chalinze mabasi yanapita kwa barabara za vumbi.. Hv kwanza hki ulichokiandika umekitoa wapi🤣
View attachment 3092547View attachment 3092548
Effecient meansI always don't argue with a hungry person
Uongo mtupu hakuna mtu husimama masaa matano kwa line ya super metro, in fact super metro is very reliable than your failed BRT yenye munajazwa ndani na kufinyana kama magunia.Kazi kufuatilia matatizo ya nchi nyingine huku ya kwao yakiwashinda....
Hapa ni Nairobi Archives kila jioni...watu hupanga foleni hadi nyingine zinafika km 1. wakisubiri matatu zinazokuja moja moja kwa sababu ya foleni kwenye Barabara za Nairobi....
Hilo eneo la Archives halinaga Taa za mwanga ni full giza ukikaa vibaya unaibiwa...
Watu wengine husimama hata masaa 5 hapo hapo....kutwa kukoment mitandaoni...We have the best infrastructure in East Africa 😂😂...
Sisi Dar tuko na BRT zetu, daladala kibao...na tunapambana kuziboresha kila siku na expansion zake zinaendelea sehemu nyingi...kila kitu kinachangamoto lakini at least serikali inazitatua moja baada ya nyingine....ni juzi tu hapa wameleta matumizi ya kadi...ni kuscan tu na kuingia kwa station...
November mabasi zaidi ya 200 yanaongezwa...
Lakini kenya no hope and there is no solution going on kusolve hii problem
View attachment 3092293
Hivi hamna mabasi ya kwenda Njombe!?Alitaka makaburini kuwe na lami, wakenya ni wasenge sn, waongo waongo mnoo, tangu lini mabasi ya Tanzania yakatembea kwenye vumbi, uongo huu ndiyo walikuwa wanaitumia miaka ilee kuipaka matope Tanzania mbwa hawa.
Quite efficient and organised. Way ahead of DARTUongo mtupu hakuna mtu husimama masaa matano kwa line ya super metro, in fact super metro is very reliable than your failed BRT yenye munajazwa ndani na kufinyana kama magunia.
Uchafu. Only for poor peopleEffecient means
1. Readily available
2. Reliable
3. Flexible
4. Timely
5. Comfortable.
6. Affordable
Remove in that head of yours that for transport to be efficient it should be BRT, you can have it and it is not efficient.
Now. Nairobi has a very efficient transport especially, these days where Jams are a thing of the past.
I wake up at Mirema, three Zuri buses will be waiting at Khetia's stage. I jump into the one in the front and in 5 Minutes am in the CBD. WHAT ELSE IS EFFECIENT THAN THAT.!?
View attachment 3092684
Long Distances (Made in Kenya)
View attachment 3092685
Short Distances (Made in Kenya)
Only stupid people have this thinkingQuite efficient and organised. Way ahead of DART
Kwahyo unataka kutuambia njombe hakuna barabara za lam.? 😂😂😂 njombe Uko na bus station kuliko Nairobi 👇🏾Hivi hamna mabasi ya kwenda Njombe!?
View attachment 3092689
Wakati wengine wanpanga foleni Nyinyi mnaingilia dirishani 😂😂🤣Hiyo haipo sasa hivi.
Magari yakija mnapanga foleni ya kuingia.
Na sasa hivi huruhusiwi kufanya hivyo.
Wewe lete picha za zamani ujifariji.
Acha kutupigia kelele kijana, ni simple leta hiyo yenu kuipiku hii hapa.Kenya SGR trains = 200km/h max speed
Tanzanian SGR locomotives = 180km/h max speed
Tanzanian EMU =160km/h max speed