Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sama boy 255 na marafiki wake wanahujumu elekrik tireini🤣🤣😂

1725919291205.png
 

Tukiachana na hizo Daladala kuwa chache kwa sababu stendi ilikuwa mpya ( route nyingi zilikuwa hazijaanza na isitoshe kuna makumbusho stendi sio lazima usubiri basi hapo...na mwisho kuna BRT phase 2 itaanza kwenda Mbagala this December)...hebu tuonyeshe stendi kama hio, safi, yenye dustbins na modern kama hio Nairobi nzima...

Na ilo eneo Mwenge ni 10km from CBD..

Nairobi Downtown kuanzia Tom mboya kote huko hadi River road...matatu na maroli yenu yanapark kila mahali...kuna foleni za watu ndefu wakisubiri kupanda hayo maroli...mnayaita metro..ukikaa vibaya unaibiwa...ni pachafu na wala hakuna bus stage ya kueleweka
 
Back
Top Bottom