Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kazi kufuatilia matatizo ya nchi nyingine huku ya kwao yakiwashinda....

Hapa ni Nairobi Archives kila jioni...watu hupanga foleni hadi nyingine zinafika km 1. wakisubiri matatu zinazokuja moja moja kwa sababu ya foleni kwenye Barabara za Nairobi....
Hilo eneo la Archives halinaga Taa za mwanga ni full giza ukikaa vibaya unaibiwa...

Watu wengine husimama hata masaa 5 hapo hapo....kutwa kukoment mitandaoni...We have the best infrastructure in East Africa 😂😂...

Sisi Dar tuko na BRT zetu, daladala kibao...na tunapambana kuziboresha kila siku na expansion zake zinaendelea sehemu nyingi...kila kitu kinachangamoto lakini at least serikali inazitatua moja baada ya nyingine....ni juzi tu hapa wameleta matumizi ya kadi...ni kuscan tu na kuingia kwa station...
November mabasi zaidi ya 200 yanaongezwa...

Lakini kenya no hope and there is no solution going on kusolve hii problem
1725521440250.jpg
 
Hilo eneo la Archives halinaga Taa za mwanga ni full giza ukikaa vibaya unaibiwa...
Hizi ni hasira za SGR yenu kukwama masaa tisa msituni😂😂🤣😂.

Halafu Mbona unasema Hilo eneo ni full Giza while everyone can see lights in that picture. Or you just like contradicting yourself?😂😂
 
Unatafuta Sama boy 255 aka baboon man akusaide? Nimekulemea ama? Kwanza huyo mwenye unaita haezinireply, muoga kama panya. Nilimtuma aende aulize babake alikuwa ni binadamu ama baboon na amekataa kuleta jibu😂😂
Humuwezi kwa lolote sama boy, speech zako tu zinaonesha we ni mtu wa aina gn, hakuna mtu mwenye maisha mazuri akatoa speech za kikulima kama zako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kazi kufuatilia matatizo ya nchi nyingine huku ya kwao yakiwashinda....

Hapa ni Nairobi Archives kila jioni...watu hupanga foleni hadi nyingine zinafika km 1. wakisubiri matatu zinazokuja moja moja kwa sababu ya foleni kwenye Barabara za Nairobi....
Hilo eneo la Archives halinaga Taa za mwanga ni full giza ukikaa vibaya unaibiwa...

Watu wengine husimama hata masaa 5 hapo hapo....kutwa kukoment mitandaoni...We have the best infrastructure in East Africa 😂😂...

Sisi Dar tuko na BRT zetu, daladala kibao...na tunapambana kuziboresha kila siku na expansion zake zinaendelea sehemu nyingi...kila kitu kinachangamoto lakini at least serikali inazitatua moja baada ya nyingine....ni juzi tu hapa wameleta matumizi ya kadi...ni kuscan tu na kuingia kwa station...
November mabasi zaidi ya 200 yanaongezwa...

Lakini kenya no hope and there is no solution going on kusolve hii problem
View attachment 3092293
Duh huu msururu wa nn?
 
Kenya inawauma sana.
Huwa wanatafuta sababu ya kusherehekea pale changamoto inapotokea katika reli yetu.
Ila wanashindwa kujua kwamba huo mradi ni mpya na maboresho katika changamoto yatafanyika.
Sio mpya kwa Tanzania bali ni East Africa nzima ni mpya na tutakuwa nao sisi tu kwa miaka mingine 100 labda tuwajengee kama tutakavyowajengea Rwanda na Burundi.
 
Kazi kufuatilia matatizo ya nchi nyingine huku ya kwao yakiwashinda....

Hapa ni Nairobi Archives kila jioni...watu hupanga foleni hadi nyingine zinafika km 1. wakisubiri matatu zinazokuja moja moja kwa sababu ya foleni kwenye Barabara za Nairobi....
Hilo eneo la Archives halinaga Taa za mwanga ni full giza ukikaa vibaya unaibiwa...

Watu wengine husimama hata masaa 5 hapo hapo....kutwa kukoment mitandaoni...We have the best infrastructure in East Africa 😂😂...

Sisi Dar tuko na BRT zetu, daladala kibao...na tunapambana kuziboresha kila siku na expansion zake zinaendelea sehemu nyingi...kila kitu kinachangamoto lakini at least serikali inazitatua moja baada ya nyingine....ni juzi tu hapa wameleta matumizi ya kadi...ni kuscan tu na kuingia kwa station...
November mabasi zaidi ya 200 yanaongezwa...

Lakini kenya no hope and there is no solution going on kusolve hii problem
View attachment 3092293
We bata mzinga Teargas umeiona hii!?
 
Hawana akili hawa.
Wao kwao wana matatizo chungu mzima kama Burundi vile,hata public transport yao ni such a mess.
Ila watakaa kushangilia matatizo ya Tanzania.
Hawajui kama sisi tunapambana kurekebisha changamoto.
Wanasiasa wa nchi hiyo wameweza ku win akili zao. Wanaishi kwenye Fantasy World. Wamepewa Destine ambayo ipo kwenye mawazo yao tu, is not real.
 
Hawana akili hawa.
Wao kwao wana matatizo chungu mzima kama Burundi vile,hata public transport yao ni such a mess.
Ila watakaa kushangilia matatizo ya Tanzania.
Hawajui kama sisi tunapambana kurekebisha changamoto.
Ulimwengu wanaoishi upo kwenye mawazo yao tu. If you ask them to show, hawawezi maana haupo.
Wanapewa ahadi zisizo na Mwisho kama Kuja Kwa Yesu na Catholic
 
Tupo hapa ndio maana kelele zao zinaishia GDP kubwa,sarafu kubwa na magorofa na interchanges.
Ila ukiwaambia leteni miradi ya maana inaowagusa wananchi hawana.
 
Kazi kufuatilia matatizo ya nchi nyingine huku ya kwao yakiwashinda....

Hapa ni Nairobi Archives kila jioni...watu hupanga foleni hadi nyingine zinafika km 1. wakisubiri matatu zinazokuja moja moja kwa sababu ya foleni kwenye Barabara za Nairobi....
Hilo eneo la Archives halinaga Taa za mwanga ni full giza ukikaa vibaya unaibiwa...

Watu wengine husimama hata masaa 5 hapo hapo....kutwa kukoment mitandaoni...We have the best infrastructure in East Africa 😂😂...

Sisi Dar tuko na BRT zetu, daladala kibao...na tunapambana kuziboresha kila siku na expansion zake zinaendelea sehemu nyingi...kila kitu kinachangamoto lakini at least serikali inazitatua moja baada ya nyingine....ni juzi tu hapa wameleta matumizi ya kadi...ni kuscan tu na kuingia kwa station...
November mabasi zaidi ya 200 yanaongezwa...

Lakini kenya no hope and there is no solution going on kusolve hii problem
View attachment 3092293
wamepanga foleni utasema wapo KFC wanasubiri offer ya kuku tuesday 😂😂😂
 
Iweze kuwa hizi stori za Kinjekitile toka Bongo ni za kweli!? Yaani zile za kujipaka vumbi uzuie risasi!!? Maana Wabongo walahi hamna akili. Mtu wa kupanga foleni, na wakutimua nani abauhakika atapata gari!? La pili kulingana na situation hizi mbili ipi ya ustaarabu, foleni ama fujo!?
 
Back
Top Bottom