President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,037
- 93,392
Tell us; why do you use Mama Ngina's brain?Jikojolee ngamia hii😂😂
Je, unatumia kichwa chako kama mfuniko wa shingo?
Tell us; why do you use Mama Ngina's brain?Jikojolee ngamia hii😂😂
Hata hawajui watatoka kindi la LDC lini?😂😂😂😂Teargas, hawa ndugu zetu wa kusini wanavituko. Hawajui mbona wao huwekwa kundi la LDC. YAANI HAWANA HABARI MBONA.
NI WAELEZE LEO, VITU VIDOGO VIDOGO (Basic Things) ukipata barabara inatumiwa na mabasi au hata matatu, then hiyo barabara ni main. Kenya huwezi pata Main road hata kama ni Mandera, ama Turkana, inayo pitisha basi ama magari mangine ya abiria iwe haina lami. Hauwezi. Kama wanaushahidi walete tukague.
Lakini Tanzania. Ukifata Iringa hadi Mafinga hiyo barabara pekee iko na lami. Hakuna kwingine. Mikoa na mikoa utatembea hutapata lami. Hizo Iriza huenda zikitumia vumbi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ona hii Tashrifu ikipita Mbewe, 😂😂😂😂.
View attachment 3092374
Hata Njombe usidha kuna lami hata moja. Na kuna Airport sasa unashindwa. Hata Dodoma kwenyewe lami unahesabu tu. Unakuja na Burret Train ukishuka unachukua Honda fumbi tena kilomita 10 aisee!!!!
Njombe sasa
View attachment 3092376
GDP gani mko nayo kubwa?$74B ni kubwa?🤣😂😂Tupo hapa ndio maana kelele zao zinaishia GDP kubwa,sarafu kubwa na magorofa na interchanges.
Ila ukiwaambia leteni miradi ya maana inaowagusa wananchi hawana.
Unaongelea Catholic vibaya na keshoe utaanza kuomba pastor wao lift?😂🤣🤣🤣Ulimwengu wanaoishi upo kwenye mawazo yao tu. If you ask them to show, hawawezi maana haupo.
Wanapewa ahadi zisizo na Mwisho kama Kuja Kwa Yesu na Catholic
Mama Ngina kafanikiwa sana kuwapati Virtual DevelopmentGDP gani mko nayo kubwa?$74B ni kubwa?🤣😂😂
Sarafu gani ni kubwa?
Gorofa tatu ndio unaita magorofa?😂😂🤣😂
Tanzania nzima mko na less than 5 interchanges😂😂😂.
The funny thing ni kwamba hakuna miradi mnajenga that Kenya doesn't have 😂😂
Enda ona doctor brathee 🤣BRT kuwa nayo sofa tu ila kwa uchumi hamna lolote. Wakenya hawataki sifa za kijinga, hiyo biashara ya Matatu pekee ni Industry yenye mapato kuzidi mapato ya serikali yenu. BRT sioni hata Ikijengwa Kenya. Na tena sio lazima. Sio lazima nchi kuwa na Bullet Trains, hata USA hawana, kama zenu hizo mnashuka Dodoma mkichukua Honda kwa vumbi. Miezi mitatu imegwama mara kumi na kitu. Kenya inapiga kazi kimya kimya. Ukishushwa kwenye stesheni unapanda commuters Train au basi, unauhakika na safari. Mbona Watz hamna akili!?
View attachment 3092551
1 SGR
2 MGR (Commuter Rail)
View attachment 3092552
View attachment 3092555View attachment 3092556
Haya leta hiyo cave ya Dodoma ambayo hata mchana lazima taa ziwashwe.
Bullshit with your tribalistic mind. I am not a Nyamwezi fyi. I am a proud Tanzanian, otherwise.Nyamweziman
Uko sure wewe sio wa Burundi? Niliskia Burundians make 65% of entire Tanzanian population.Bullshit with your tribalistic mind. I am not a Nyamwezi fyi. I am a proud Tanzanian.
Ngoja nikutie mkuki mwingine wa bomba la mafuta (EACOP) ng’ombe wehBRT kuwa nayo sofa tu ila kwa uchumi hamna lolote. Wakenya hawataki sifa za kijinga, hiyo biashara ya Matatu pekee ni Industry yenye mapato kuzidi mapato ya serikali yenu. BRT sioni hata Ikijengwa Kenya. Na tena sio lazima. Sio lazima nchi kuwa na Bullet Trains, hata USA hawana, kama zenu hizo mnashuka Dodoma mkichukua Honda kwa vumbi. Miezi mitatu imegwama mara kumi na kitu. Kenya inapiga kazi kimya kimya. Ukishushwa kwenye stesheni unapanda commuters Train au basi, unauhakika na safari. Mbona Watz hamna akili!?
View attachment 3092551
1 SGR
2 MGR (Commuter Rail)
View attachment 3092552
View attachment 3092555View attachment 3092556
Haya leta hiyo cave ya Dodoma ambayo hata mchana lazima taa ziwashwe.
Don't waste my time.Uko sure wewe sio wa Burundi? Niliskia Burundians make 65% of entire Tanzanian population.
Do you even have time?Don't waste my time.
Yes.Do you even have time?
Na wewe kwa akili yako ama kusoma kulisoma ni kuwa efficient transport ni BRT !? Nataka nijue fikra hizo ni zako tu ama ulisoma shule, ama kakwambia mtu😳😳😳Don YF The first qualification for a town to be called a city is Transport System. Does Nairobi have this qualification? Kama haina basi,
Nairobi is not a City is just a big town with splendid slums.
Hiyo haipo sasa hivi.
Kibaha ni Mkoa wa Pwani.Na wewe kwa akili yako ama kusoma kulisoma ni kuwa efficient transport ni BRT !? Nataka nijue fikra hizo ni zako tu ama ulisoma shule, ama kakwambia mtu😳😳😳
View attachment 3092649
I always don't argue with a hungry personNa wewe kwa akili yako ama kusoma kulisoma ni kuwa efficient transport ni BRT !? Nataka nijue fikra hizo ni zako tu ama ulisoma shule, ama kakwambia mtu😳😳😳
View attachment 3092649