Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Humuwezi kwa lolote sama boy, speech zako tu zinaonesha we ni mtu wa aina gn, hakuna mtu mwenye maisha mazuri akatoa speech za kikulima kama zako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jana nilikuambia tuongelee mambo ya pesa ukatoroka. So in terms of maisha wewe na huyo baboon hamniwezi😂
 
What can this country do? BRT wamelemewa, ndege wamelemewa na SGR pia ndio hiyo wanaangukia pia😂😂🤣

1725981679768.jpg
 
Huko kwenu CBD ngombe na punda wanapishana na binadamu kwenye pedestrian crossing we huoni Naipori ilivyo backwards hata sheria za mjini hamna nyie ni hovyo sana katika civilization.
Remember Nairobi is 3x Wealthier than Dar is Slum 😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom