Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jiulize kwann nchi zote zilizoendelea zinatumia chinnese bus 😁😁😁😁 au wao hawana akili kuliko nyinyi??
Tena umeachana na mambo ya kukana kwamba Kenya hatutengenezi body za mabasi?😂😂🤣
 
Unaona ulivyo pimbi!?
Unafananisha uundaji magari na ushonaji nguo tena.
Hivi unajielewa buddah!
Mbona hupendangi kutumia akili wewe jamaa wa chanjo? Sewing cloth and building a bus are similar in a manner that both involve cutting and joining together pieces to make a complete bus or cloth.
 
Wakenya wote naomba mlie pole pole wakati mnapitia hii video.

Nicxie naomba uniambie ni nchi gani iliyoendelea kati ya Kenya na Tanzania.

Teargas aka mnuka nnyaa naomba uniambie SGR ipi ni bora kati ya diesel au electric? Je, jongoo wenu anakimbia kuliko huyu nyoka?

NairobiWalker aka kiberawalker naomba uniambie, je, hapa kingereza kina nafasi?

View: https://vm.tiktok.com/ZMhJ146wY/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok Lite - Save Data - Apps on Google Play

Kenya SGR trains = 200km/h max speed
Tanzanian SGR locomotives = 180km/h max speed
Tanzanian EMU =160km/h max speed
 
Waterbus built in Kisumu.

1725872285907.jpeg
 
Mbona hupendangi kutumia akili wewe jamaa wa chanjo? Sewing cloth and building a bus are similar in a manner that both involve cutting and joining together pieces to make a complete bus or cloth.
Nikisema huna akili nitakosea!??
Fananisha ubunifu unaotumika katika hayo maeneo mawili unafanana!?
Pia fananisha upatikanaji wa malighafi ya maeneo hayo mawili unafanana!?
Malighafi za ushoni asilimia kubwa ni za shambani ambazo uchakatwaji wake ni wa bei nafuu na local person anaweza akachakata.
Fananisha na malighafi za uundaji wa gari.
Halafu fananisha hizo bidhaa mbili zikiundwa specifications zake zikoje kila upande.
 
Shida yako huwa unaingilia mjadala bila kujua the origin of the discussion. ichoboy01 alisema Kenya hatutengenezi bus bodies because all the materials we use have been imported ndio nikampatia example of a tailor.

Wewe ni kunguni bwana, unapenda kudandia discussions huelewi.
 
Umeanza kuropoka tena kijana!??
That’s a fact that you can’t dispute. Whether ucheke ama ulie ukweli utabaki kwamba Kenyan SGR trains have higher maximum speed than your SGR trains.😂😂🤣😂
 
Ila wakenya kweli ni ng'ombe, SASA ww unashangilia nn ikiwa munafanya assemble while everything muna import, au kitu gani munaunda wenyewe kama ni body sheet munaagiza, chassis munaagiza, bolts and nuts munaagiza ,engines munaagiza, dashboard munaagiza, hebu nitajie kitu gani ambacho hakiagizwi kutoka nje 🤣🤣🤣🤣
Kosugi achanga kuropokwa malaya hii. Ndio hii penye discussion and comparison of bus building and cloth sewing ilitoka.

No wonder NairobiWalker huwa anakudharau😂
 
alaf ajabu 470km inatumia 6 to 7 good hours
So ukiwa na gari inaezaenda 260km/h and you decide to ride it at 20km/h does that mean haiezifikisha 260km/h? Mbona unakuanga fala hivi lakini. Did your brain stop reasoning?
 
Kosugi achanga kuropokwa malaya hii. Ndio hii penye discussion and comparison of bus building and cloth sewing ilitoka.

No wonder NairobiWalker huwa anakudharau😂
Narudia tena mifano haifanani usitafute kichaka cha kujificha hapo.
Pamba inalimwa ndani,kuna viwanda vya kuchakata pamba kuunda vitambaa,mikasi inaundwa ndani kwasababu metali zipo nchini,sindano zinaundwa ndani,vitambaa vya aina nyingine vinaundwa ndani pia,cherehani vile vile.
Aya fananisha na gari.
Kama Kenya teknolojia hamuna ni hamuna tuuuu.
We uliona wapi China ana import vifaa vya kuunda body ya gari/bus??
China ana import vifaa muhimu kama vya umeme wa gari ama sehemu za kuunda engine.
Elimu ya Kenya ni matatizo.
 
That’s a fact that you can’t dispute. Whether ucheke ama ulie ukweli utabaki kwamba Kenyan SGR trains have higher maximum speed than your SGR trains.😂😂🤣😂
Tunajua unaropoka na tushakuzoea kuropoka.
Na tukurekebishe EMU operating speed ni 165km/hr maximum speed ni 220km/hr.
Huwezi pata Diesel engine ikatembea 200km/hr duniani.
Kama ipo niletee hapa document yeyote inayosema kuna treni ya diesel yenye maximum speed ya hivyo.
Hao China wenyewe treni zao za Diesel zilikua zikigota 160kmphr.
Tukisema Kenya mambumbumbu mnakataa.
Kwanza reli yenu ni mfumo wa kizamani hairuhusu ufanisi mkubwa wa mwendo jointed rail.
 
Back
Top Bottom