President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,037
- 93,392
Teargas na Kundudwellers wengine. Wanaishi maisha ya movie. Anaweza kabisa kujionesha kuwa ni billionaire, anamilki magari, anaweza vilevile kujionesha kama commando anayeweza kupiga jeshi la watu 1,00,000 kwa ngumi 🤣 🤣 🤣 🤣 Haya ni maisha ya kwenye Movies, maisha ya kwenye uigizaji, siyo real life.
Ndio Maisha ya Kundudwellers wote
Ndio Maisha ya Kundudwellers wote