Ila wakenya kweli ni ng'ombe, SASA ww unashangilia nn ikiwa munafanya assemble while everything muna import, au kitu gani munaunda wenyewe kama ni body sheet munaagiza, chassis munaagiza, bolts and nuts munaagiza ,engines munaagiza, dashboard munaagiza, hebu nitajie kitu gani ambacho hakiagizwi kutoka nje ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Alaf hii ndio final product mkenya anapanda humu eti anasafiri ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Zunguka dunia nzima nchi ambazo zimeendelea kama utakuta huu ushuzi, no wonder hata wazungu wanawaona nyinyi kama kondoo
View attachment 3090052View attachment 3090053View attachment 3090054