Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,817
Sikatai. Ila hao wa Fiber huwezi ona walianza mahali!? Wakaanza na zile vyuma na mabati, wakapata Experiences na Capital wakaupgrade!?Usituletee uchafu hapa. Unatuletea vyuma hapa. Technology ya Board inayotumika kwa sasa ni Fiber Board. Sasa hayo mavyuma chakavu, yanaongeza uzito wa bus kabla halijabeba kitu chochote.
OK, sasa wewe furaha yako iko wapi watoto wawenzio huko China na Brazil, wakiunda kitu wanakuuzia kisha unaringa!? Fahari gani ipo hapo!?