Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa elimu ya wakenya hili ni tatizo.

images.jpeg
 
Utasema yote, ila najua hii imekuuma mno the fact miradi yetu ni more viable and commercially realistic than yours, yaani end to end projects, Tanzania hii hapa, Zambia hii hapa huwezi ona project kama hii inatokomea machakani kama yenu 😂😂😂View attachment 3086564
Roho yangu itapona siku SGR ikienda tunduma mpaka zambia
 
Mbona umefuta vtu vingine🤣
Huyo Watchman asikusumbue, anavaa t-shirt ya Wasafi mpaka inalika namna hiii 👇👇👇👇
Screenshot_20240816-081853~2.png

Ile umaskini ipo Kenya si ya dunia hii, mwingine kashona t-shirt kwa mkono 👇👇
Screenshot_20240815-125303~2.png


Mwingine kapiga mitumba yake full hata pasi ya kunyoosha nguo hana na buti lake la SGR anakuambia ana maisha mazuri 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240815-124316~2.png


Na hivi ndiyo viatu vyao, wanakuambia waliingia faivu sitaa oteli, viatu vimelika alafu vikalika tena, hawa wakenya ni mafukara mnooo aiseee 👇 👇 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20240815-124652~2.png
 
Back
Top Bottom