Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mpuzi alikuwa anataka evidence kuwa askari wa Kenya Haiti hawajalipwa. Sasa asikie from the horse mouth 👇.
Mzigo Yues ameshatoa ila kama kawaida hapa kati hapakosi mauzauza 🤣🤣🤣
 
Tatizo ninyi wakenya hamna akili, huwa mnakurupuka tu ili muonekane na nyie mnaweza, teknolojia ya kuunda gari nyie bado sanaa, kwanza hamna material wala capital ya kufanya hivyo, kama ni assembly plant na sisi pia tunayo na tunatoa trucks za first world countries hata nyie nmesikia mmeanza kununua, sasa hapo nani hana akili. Nenda Google Sinotruck plant in Tanzania utajiona ulivyo bwege.
Aaah! Elimu ya Tanzania ni kama ina matatizo. Iwe kuelewa kwenu shida!? Unaona mi nikisema Watanzania wanaushamba na wao hutumia akili kidogo mnabisha. Wewe ona hapa🤣🤣🤣🤣🤣

View: https://x.com/spana_Konki/status/1832438610018312257?t=D9IM2dg9ZxE-aFXLvc_POw&s=19
 
Kuna kitu gani kinaendelee nchini hapa ???
ChoiceVariable Una any information about this?

20240908_151345.jpg
 
Sijui chochote,wewe ingia 18 zao ndio Utajua nini linaendelea
Hehehe hamutaki kuulizwa ?? Unless uniambie hao wanaoua watu hawatokufa then hapo nitakuelewa, lakini ikiwa kila muosha ataoshwa anhhh mzeee, kama kuna MTU hatukua nitajie mmoja Tu ingekua uhai unanunuliwa basi kuna watu wangeishi maisha yote

Hii story inachafua image ya nchi Hasa kwenye tourism sector, na foreign issues hususan investments. Watoto wanatekwa ovyo, watu wanatekwa ovyo wanauliwa what is this ??? Kuna kitu gani nyuma ya pazia
 
Kuna kitu gani kinaendelee nchini hapa ???
ChoiceVariable Una any information about this?

View attachment 3090248
Brother usijiingize katika siasa hizi. Ngoja sisi tukomae na battle hii.

1. Mtu aliyegundua katekwa ni Boniface Jacob
2. Mtu aliyegundua kuuliwa kwakwe ni Boniface Jacob

Ukiunganisha Dots utaona kuna internal issue kwenye vyama vya siasa inaendelea. But hili nalo litapita kama la Chacha Wangwe.
 
Ila inashtua Sana bro inatuhatibia image ya nchi mambo kama haya
 
Back
Top Bottom