Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,595
Wakenya wanasomea ubaharia DMI,hawana chuo kinachotambulika na IMO kule ukunyanKundulanga wanatoa majicho tuu 😂😂👇👇
View: https://x.com/kibiki001/status/1831305616687521854?t=eQjKlOkzG2DFBPfhsTxlPQ&s=19
Hako kanyang’au kalikuwa bado hakajazaliwa enzi hizo, usikalaumu sana😎😎😎🤣🤣🤣🤣🤣🐖🐖🐖Ona hii piglet.
Viwanda vya urafiki textile alifungua murkomen!??
Mbona Thika ni kubwa!?Mbeya ni 5th sio 4th largest city,harafu hiyo picha ni ya zamani Kwa Sasa hapo katikati Kuna magorofa mengi umeanza kujengwa.
Haval Kenya DealershipKuna toyota tanzania, ndiyo maana nikakuuliza dealership ni nini!?..acha kujichekesha kama una autism
Leta evidence ya sisi kwenda kupiga magoti kuomba msamaha kama hii ya kwenu ambayo Ruto kaenda kupiga magoti aongezewe muda.Chinese Government cancels $37.5 million USD of the Government of Tanzania's outstanding TAZARA debt obligations (Linked to Record ID#73097) | AidData Project
In 1967, the Chinese Government provided an RMB 494 million interest-free loan to the Government of Zambia and an RMB 494 million interest-free loan to the G…china.aiddata.org
Mkuu waarabu sio watu wa kwenda kuchezea timu zao.Tatizo la Yanga wanajifanya ni klabu yenye malengo ya mbali kuliko klabu zote Africa na duniani kwa ujumla, wamuache kijana akapambane na hali yake.
You don't know!? Our sportsmen are our ambassadors who market Kenya outside. He is not just touring. He is there to sell Kenyan sports agenda. Have you ever asked yourself why Kenya is home to many Multi National organisations in Africa!? Marketing and perceptions.So hii inasaidia Kenya kuondoa njaa??😅😅
So ile franchised and non franchised dealership uliyo-outline mwanzo ulikua umelewa?..non-franchised dealership now isn't 'dealership'?!..Haval Kenya Dealership
View attachment 3086953
Haval Tanzania aka Kifaru Motors aka dealership ya mchongo
🤣🤣🤣
Hizo unazoziita simping song ndio zina hit Afrika nzima hadi Ulaya.Just tell me the entertainment in Bongo ni gani. Ama unaongelea zile simping songs?
Thanks to being capitalists puppets since independence and cold warYou don't know!? Our sportsmen are our ambassadors who market Kenya outside. He is not just touring. He is there to sell Kenyan sports agenda. Have you ever asked yourself why Kenya is home to many Multi National organisations in Africa!? Marketing and perceptions.
Mbona usamehewe deni kama una uwezo wa kulipa?Leta evidence ya sisi kwenda kupiga magoti kuomba msamaha kama hii ya kwenu ambayo Ruto kaenda kupiga magoti aongezewe muda.
Taarifa yako haijaonesha tulipiga goti
Deni gani?Mbona usamehewe deni kama una uwezo wa kulipa?
Kama mna uwezo wa kulipa mbona muna unaenda na hamlipi kiasi mnakopa kulipa deni!?Mbona usamehewe deni kama una uwezo wa kulipa?
Mji huu hauna lami ulinganishwe na Thika ambayo ina Over 1000 industries!?Acha ubabaishaji,thika ni Kijiji tuu Kwa Mbeya
View attachment 3086967View attachment 3086968View attachment 3086969View attachment 3086970
Kuna wengi wako nje huko kwenu ila hakuripotiwi.Heee! NairobiWalker naona Your reporting argument imeanza lipa 😂😂 mpaka leo watu wapo nje while nchi isiyo reporting ya mafuriko imekamilisha nyumba za Wahanga, Imeanza kukarabati miundombinu.