Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Which Kenyans are those ?.. I know hundreds of Kenyans in the diaspora. I have attended Kenyan events like rugby in Vegas and July 4th weekend extravaganza in Texas where thousands of Kenyans gather . The only 2 languages spoken ni English or Sheng . Period!… We respect Kiswahili as our National language and even teach our kids few words here and there . My kids can say basic stuff in Swahili . But it’s not a priority for us abroad, just a pride .
Sheng ni Lugha gani ?
 
It doesn't make sense since 60yrs back hukuona hili.
ndio naona leo hio na ni post ya recent ndugu 13hrs ago

IMG_3367.jpeg
 
Sasa hata wewe si unaweza mtafuta mwekezaji akawekeza kuliko kupiga kelele hapa?
Kuna watu wanafanya kazi ndo maana unaona alipatikana? Lakini pia serikali haifanyi biashara bali ni kuweka mazingira kwa ajili ya uwekezaji.
Pia acha kuwa mjinga nenda tandahimba ukaone MAMCU wanavyojenga kiwanda kikubwa Cha korosho, pia Kuna small scale industries za kufa mtu ni wewe TU na akili yako ya kulalamika
sio kazi yangu kutafuta, ila nitakwambia nini chakufanya kwanza ondoa rushwa, ondoa ukiritimba,ondoa vishoka, jenga miondombinu wezeshi na ya uhakika alaf utawaona hao waekezaji wakija bila kuitwa
 
Mnazunguuka. 😂😂😂
Dom outer ring 115 km.

Vs

Nairobi-Murua road 84 km.

Dom outer ring road is the longest dual carriage way in the Region. Mkitaka kulia mlie. Msitutajie kitu ambacho hakipo ground. 😂😂😂😂
Hiyo 84km kwanza ipo ?
 
asante kwa TBT kwa kweli tulikua tunashupaza shingo tukidhani tuko mbele
sikuwah kufkiri mpaka marcopolo za bongo zinatoka AVA 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Tafuta mwanasaikolojia akusaidie, kuna shida kubwa kwenye afya ya akili.
 
mm uchawa siuwezi bro nikwambie ukweli tu
Wakenya wanaopost nchi yao sio machawa ila Watanzania wanaopost nchi yao ni machawa. 😂😂😂
Wewe una changamoto ya afya ya akili.
Tunapost maendeleo ya Tanzania humu, kuna mtu umeona anapost viongozi?
 
Wakenya wanaopost nchi yao sio machawa ila Watanzania wanaopost nchi yao ni machawa. 😂😂😂
Wewe una changamoto ya afya ya akili.
Tunapost maendeleo ya Tanzania humu, kuna mtu umeona anapost viongozi?
Ni huzuni kubwa. Wengine maumivu yao huwa wanayatoa kwa kuwaumiza wengine. Ni kukosa malezi bora

Tumsamehe, hana maadili yetu
 
Back
Top Bottom