Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kuna utofauti.
Tanzania Mao Zhedong alikua akija mwenyewe kumfuata Nyerere hapa Tanzania pasi na kutuma muwakilishi.
Ila Kenya anatumwa muwakilishi.
Tanzania imeingia mikataba mingi ya ushirikiano na China kuliko na nchi yeyote hapa Afrika.
Hata mkopo anaouchukua Tanzania China ni wa riba nafuu kuliko atakaouchukua Kenya au taifa lolote hapa Afrika.
Kama uongo huyo NairobiWalker aje alete ushahidi wake hapa.
 
Huu uongo unaupata wapi!??
Nani kakwambia China hainufaiki na Tanzania!??
Unajua China kawekeza miradi mingapi Tanzania kuliko alivyowekeza Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi!?
Hivi unajielewa bro!??
Ndio maana nikakuletea historia ya Urafiki wa Tanzania na China wapi umetokea.
Kenya hamuna historia kubwa ya kihivyo baina yenu na China.
Ukanda wote huu au tuseme Afrika nzima nchi yenye historia kubwa na China ni Tanzania.
Lete uwekezaji wa China Kenya na wa China Tanzania tupimie hapa.
Pia lete biashara za ushirikiano Kenya na China na mimi nilete za Tanzania China.
Usisemee mikopo hapana biashara za ushirikiano.
Najua unakuwanga mgumu kuelewa. Wacha nikueleze kama mtoto mdogo.

Hizo investment unazoongelea kwenu ni kitu kikubwa ila Kwa China ni tone la maji kwenye bahari. Yani Leo hii mkiacha kushirikiana na China, China haitoadhirika hata kidogo ila China wakaiacha kushirikiana nanyi uchumi wenu utaadhirika mno. Nilikupea mfano awali kwamba GDP yenu haifikii GDP ya mji wa 100 kwa ukubwa China. If you can't understand this simple reality then I have nothing else to tell you.

Shida yenu mnapenda kufanya vitu na emotions. Yani Rais wenu akisalimiana na Rais wa nchi kubwa mnaona kama mmedhaminiwa sana na hiyo nchi. Sorry to break it to you, kwa mchina Mwafrika ni Mwafrika tu, hamna tofauti.
 
Hawa Shilole na Hersi ni kina nani?

Hawa ChatGPT bhana 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇
1725443451801.png
 
Hawa Shilole na Hersi ni kina nani?
Hao ni watu ambao hawana umaarufu ila wana pesa ndefu kuliko Kipchoge.
Shilole net worth ni $4 millions ilhali huyo Kipchoge umaarufu woooteee net worth yake ni $ 3 millions.
Kwa Hersi usiguse maana yule ni boss kubwa achana naye.
 
Anafananisha utajiri binafsi wa mtu na umaarufu na impact yake kwenye society. Si basi tumpee tajiri Mike Sonko amenyane na huyo Hersi aachane na Kipchoge wetu.🤣🤣
Umeona sehemu ya kupumulia uweze kukimbia. Tueleze Uhusiano wenu na Nchi ya China upo wa namna gani?
 
Anafananisha utajiri binafsi wa mtu na umaarufu na impact yake kwenye society. Si basi tumpee tajiri Mike Sonko amenyane na huyo Hersi aachane na Kipchoge wetu.🤣🤣
Unaanza kuchanganya madesa.
Utajiri wa hao watu ina impact katika jamii kwasababu wamewekeza na kutengeneza ajira nyingi kuliko huyo Kipchoge.
 
Hao ni watu ambao hawana umaarufu ila wana pesa ndefu kuliko Kipchoge.
Shilole net worth ni $4 millions ilhali huyo Kipchoge umaarufu woooteee net worth yake ni $ 3 millions.
Kwa Hersi usiguse maana yule ni boss kubwa achana naye.
Are they athletes?
 
Najua unakuwanga mgumu kuelewa. Wacha nikueleze kama mtoto mdogo.

Hizo investment unazoongelea kwenu ni kitu kikubwa ila Kwa China ni tone la maji kwenye bahari. Yani Leo hii mkiacha kushirikiana na China, China haitoadhirika hata kidogo ila China wakaiacha kushirikiana nanyi uchumi wenu utaadhirika mno. Nilikupea mfano awali kwamba GDP yenu haifikii GDP ya mji wa 100 kwa ukubwa China. If you can't understand this simple reality then I have nothing else to tell you.

Shida yenu mnapenda kufanya vitu na emotions. Yani Rais wenu akisalimiana na Rais wa nchi kubwa mnaona kama mmedhaminiwa sana na hiyo nchi. Sorry to break it to you, kwa mchina Mwafrika ni Mwafrika tu, hamna tofauti.
😂😂😂😂😂😂😂Nyani katema bungo lamamayeeeee.
Wewe una uhakika gani alichowekeza China Tanzania hakina faida kubwa!?
Hilo ni la wewe au wao China diplomats kujua!?
Hilo ni suala la China diplomats kuamua kama wanapata faida kidogo ama nyingi.
Pia jiulize kwanini walichagua kuweka ushirika mkubwa na Tanzania kuliko taifa lolote hapa Afrika??

Diplomasia huwa haiendi hivyo mazeeh.
Huwa haiendi hivyo.
 
Nilikuambia mambo ya Kipchoge na Hersi sijadili tena. Ni kumkosea Kipchoge heshima.
Kwahiyo tuseme mmeshindwa kulipa mkopo mpaka muombe nyongeza ya muda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

William Ruto intends to ask China for a $1 billion loan and a debt repayment restructuring plan, the country's vice-president said on Friday.

According to Rigathi Gachagua, the head of state, who criticized his predecessor's heavy borrowing from Beijing, will visit China at an unspecified date. He will ask for "more time to slowly repay the debt", as well as a billion dollars to complete road projects delayed by lack of funding.
 
Back
Top Bottom