Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niendelee nisiendelee?

View attachment 3078756

Wewe unataka ukulwe pesa bure. You can only search vehicles on NTSA Portals and it’s free of charge😂😂😂🤣.

Wewe lipa tu hiyo 940 which I know huna😂😂🤣😂
 
Jamaa hata hajui rangi za nguo zinamaanisha nn, kavaa manguo ya mtumba alafu yote meusi mpaka SGR 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Meusi kama makucha zako
IMG_0483.jpeg
 
Kama yeye kumiliki kampuni ni private life yake iweje "uchafu" wa gari lake si private life yake? Wewe tuoneshe hiyo gari yako safi tuone.

Unatembea Kwa miguu hadi kwato zako zikaisha na uko hapo kuongolea magari za watu!
Haiondoi kuwa gari ni chafu na inaonesha kuwa wewe ni mchafu sana. Just kusafisha ndani kwa kutumia kitambaa tu unashidwa?

Issue ya kuwa na company and so on hayo ni private life yako we don't care.

Hiyo ni Isuzu kama niliyosema.

Uniogoepe
 
Paw mambo gani tena haya. Naomba muongee na kijana huyu
Mbona nyinyi watanzania ni waoga hivi? Mnatusiana lakini nyinyi mkiambiwa something kidogo mnaanza kulilia mods. For your imformation, I’m not afraid of anyone here😂😂🤣😂.

Wewe huyo Shikira unatajataja unamjua? Bila mimi hilo jina ungejua?😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom