Unazungumzia historia!!??
Hata Barcelona kabla haijafungwa 8-2 na Bayern Munich mechi ya mwisho kabla Barcelona alimfunga Bayern 3-1.
Tizama current performance sio historia.
Unazungumzia historia!!??
Kwa hivo akipost basi la Kenya ni umaskini, nyinyi mkipost basi la Tanzania ni utajiri? Unafiki.
There is no East Africa capable of defeating Gor Mahia and that’s the truth😂😂🤣Unazungumzia historia!!??
Hata Barcelona kabla haijafungwa 8-2 na Bayern Munich mechi ya mwisho kabla Barcelona alimfunga Bayern 3-1.
Tizama current performance sio historia.
Unaongea ujinga kama kawaida yako.There is no East Africa capable of defeating Gor Mahia and that’s the truth😂😂🤣
Kwani hiyo timu ya South Sudan ishatowa Gor Mahia? Wewe ngoja uone vile kesho watanyoroshwa mabao.Unaongea ujinga kama kawaida yako.
Gormahia ya ngapi katika viwango vya CAF!?
Mechi yenu ya preliminary stage si mmefungwa 1-0 na Merreikh ya Sudan kusini!?
Sudan kusini haipo East Africa?Au ipo West Africa?
Ndio ujue history doesn't matter.
Katimu hakaeleweki kutoka Sudan kamewalamba 1-0.
Yani ni matusi kwa timu kama Merreikh kuifunga Gormahia.Kwani hiyo timu ya South Sudan ishatowa Gor Mahia? Wewe ngoja uone vile kesho watanyoroshwa mabao.
View attachment 3078388
Unazungumzia mabus haya?
Geza Ulole the real kubebwa ufala ni hii. You see, it's foreigners who are speaking out against your government. Your own people are supporting it's stupidity.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrvTuQkW/
Yah,chasses za malori hizo,TZ hizo aziruhusiwi kubeba watuHaya ndio wanayo tengeneza
I don’t know what’s usually the problem of African countries. Imagine this is how those beautiful stadiums in Cameroon that hosted AFCON looks like currently.Kweli Africa ni Africa tu, Naona hapa Azam na APR uwanja wa Amahoro wa juzi pitch ishageuka viraka not smooth, Maintenance ni janga Africa.
Sipati picha Simba na Yanga wakiwa na viwanja vyao kwa Mkapa patakuwaje, Maana hizo clubs mbili zinafanya Serikali ilazimike kufanyia matengenezo kila mwaka kukidhi CAF standards
Kundudweller UmechanganyikiwaI don’t know what’s usually the problem of African countries. Imagine this is how those beautiful stadiums in Cameroon that hosted AFCON looks like currently.
The terraces looks like it has never been used for 20yrs now
View attachment 3078462
View attachment 3078463
View attachment 3078464
Look how pitch looks like
View attachment 3078466
They couldn’t even manage to maintain athletics tracks
View attachment 3078468
Non NATO ally wakati wanakuja Kudump scraper ambazo zinakuja kuwabutcher wakuu wenu wa majeshi?KDF can destroy Dar while sipping tea back in their barracks… Non NATO ally manenos
View attachment 3078099
Is that the new Any Time Cancelled Limited jumbo jet?..🤣🤣🤣Chuma hicho kinatoka kiwandani Iringa 🤓View attachment 3078255
Tuko wengi mkuu na mimi nataka nikapige maji Dom weekend moja nije kulala Dar kwasababu speed ya treni inaruhusu 🤣🤣🤣Hakika sijaona hata mmojawapo wa Watanzania hawa akivaa koti kubwa oversize la mtumba kama wakunya kina Teargas .
bila shaka kwa mwonekano wa abiria hawa wa Train hizi za Kisasa zaidi Africa mashariki na kati ni wazi watanzania wanajiweza kiuchumi na pia vichwani wako sophisticated. Nami natafuta kasafari ka dom kasiko na agenda nikamwagilie moyo makao makuu ya nchi . Nitupie viwalo vya world class kwenye usafiri world class . Looks like hapa jukwaani ni mimi pekeangu sijadandia usafiri huu wa kinyamwezi.
Unaangalia game kweliMkapa tayari ni viraka. Labda kama hutaki kuona ukweli.
Yaliyofanya useme Mwanza imezidiwa.Unataka yapi?
CC: NairobiWalkerWapishi washaanza kupoteana 🤣🤣🤣🤣
![]()
Stop Lying Alai, Kenya Airways Calls Out Robert Alai
After blogger Robert Alai posted a post on X claiming that Kenya Airways might have cooked their books during the recently-released financialsokodirectory.com