Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No problem, mimi niliinunua ikiwa mpya, ninayo miaka saba sahii na bado inanipigia kazi ninayotaka. Hivi wewe huo mkokoteni wako ulinunua shilingi ngapi?
Miaka saba with Plate number KCF 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unambdanganya nani?

1724574840520.png
 
Siku hizi tunapiga tunapiga hawa wachawi mangumi mazito zito 😂😂🤣😂. Ushaihumdua wenye wanapiga kelele hapa hata baiskeli hawana?😂

Again it’s good huko hapo Delta Corner, ebu piga hiyo barabara ya chini picha uonyeshe hawa wachawi kwamba that broken road wamekuwa wakipost here is no longer there.
Picha ni ya kitambo bro, siko hapo sahii.
Huyo jamaa wa kuomba lift anataka kuleta siasa kwa gari langu naye hata mkokoteni hana. Nimeachana naye. Mbona mtu wa University uanze kujibizana na mtu hakuenda hata kindergarten. 🤣 🤣
 
Mimi Tangu aibe picha ya mwanaume mwingine nilijua huyo ni mtu bure sana. Yani jamaa hajiamini hadi anatumia picha ya other men to cheat us ati ni yeye😂😂🤣
 
Siku hizi tunapiga tunapiga hawa wachawi mangumi mazito zito 😂😂🤣😂. Ushaihumdua wenye wanapiga kelele hapa hata baiskeli hawana?😂

Again it’s good huko hapo Delta Corner, ebu piga hiyo barabara ya chini picha uonyeshe hawa wachawi kwamba that broken road wamekuwa wakipost here is no longer there.
Ngoja sasa nikuogopeshe zaidi:

Picha uliyoweka uliipiga August 19, 2024 11:31

Location: 1 deg 25' 0.40" S, 36 deg 57' 7.67" E

Camera LensModel: Pixel 7 Pro back camera 6.81mm f/1.85
 
Napenda black clothes. If you only use black to attend funerals then bado uko stone age. Kwanza hizo hizo ndio ntavaa nikikuja kukuzika cause I know you will die soon😂😂🤣
Huo ni ushamba aina gani? Hawa majamaa bana. Mimi T-Shirt zangu zote ni black or white, jeans zangu ni black, grey and blue. Yani hawa ni wale utawapata wamevaa trao ya yellow na shati ya pink. 🤣 🤣
 
Mimi Tangu aibe picha ya mwanaume mwingine nilijua huyo ni mtu bure sana. Yani jamaa hajiamini hadi anatumia picha ya other men to cheat us ati ni yeye😂😂🤣
Huyo huwa hananga akili. Heri Sama Boy. Sama Boy ni umaskini tu humsumbua na kujaribu kufit in kwa kupinga kila kitu hata kile kinachoonekana wazi ila kuna points akimake unaona kidogo ni mtu ana akili. Huyu hapa na Mgonjwa matapiko ni buuureee. Jamaa hazinanga akili kabisa. 🤣 🤣
 
Huo ni ushamba aina gani? Hawa majamaa bana. Mimi T-Shirt zangu zote ni black or white, jeans zangu ni black, grey and blue. Yani hawa ni wale utawapata wamevaa trao ya yellow na shati ya pink. 🤣 🤣
Kitu nimegundua na hawa watu wengi wao ni washamba lakini ukiwaambia wanakuambia ati mara sijui fikira za umaskini😂😂🤣😂.

Hao wanajua nguo za black huwa tu za matanga alafu za white ni za Harusi Amad sherehe 😂😂🤣😂
 
Huyo huwa hananga akili. Heri Sama Boy. Sama Boy ni umaskini tu humsumbua na kujaribu kufit in kwa kupinga kila kitu hata kile kinachoonekana wazi ila kuna points akimake unaona kidogo ni mtu ana akili. Huyu hapa na Mgonjwa matapiko ni buuureee. Jamaa hazinanga akili kabisa. 🤣 🤣
Kundudwellers bhana. Hebu tuoneshe utajiri wako hapa tucheke
 
Huyo huwa hananga akili. Heri Sama Boy. Sama Boy ni umaskini tu humsumbua na kujaribu kufit in kwa kupinga kila kitu hata kile kinachoonekana wazi ila kuna points akimake unaona kidogo ni mtu ana akili. Huyu hapa na Mgonjwa matapiko ni buuureee. Jamaa hazinanga akili kabisa. 🤣 🤣
Na Yule jamaa wa ukimwi with pale hands umewacha wapi?😂😂🤣😂.

Lakini fala zaidi ni huyu Venus something. Jamaa atakuambia yeye ni expert in almost everything but in reality hajui chochote, juzi tu hapa alishindwa kuhesabu number plates za gari akaanza matusi. 😂😂🤣😂
 
Huyo huwa hananga akili. Heri Sama Boy. Sama Boy ni umaskini tu humsumbua na kujaribu kufit in kwa kupinga kila kitu hata kile kinachoonekana wazi ila kuna points akimake unaona kidogo ni mtu ana akili. Huyu hapa na Mgonjwa matapiko ni buuureee. Jamaa hazinanga akili kabisa. 🤣 🤣
Mtu mwenye pesa utazunguka all social media kubishana na watu? 🤣🤣🤣🤣

1724576001695.png
 
Back
Top Bottom