Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haiondoi kuwa gari ni chafu na inaonesha kuwa wewe ni mchafu sana. Just kusafisha ndani kwa kutumia kitambaa tu unashidwa?

Issue ya kuwa na company and so on hayo ni private life yako we don't care.

Hiyo ni Isuzu kama niliyosema.

Uniogoepe
Nikuogope wee muendesha mkokoteni kisa umeweza kujua gari langu ni aina gani? 🤣 🤣 🤣
Enyewe una shida. Hapa mimi ukinionyesha Bugatti kwa ndani nitakuambia hiyo ni Bugatti tena model yenyewe nitakupa ila sina uwezo wa kuinunua hiyo Bugatti, sasa pia nipige kelele eti mniogope kisa naweza itambua Bugatti kwa ndani? Wewe baki hapo ukigoogle magari wakati wanaume wengine wanayanunua. 🤣🤣
 
Wewe ni maskini wa kutupwa mzee 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇This is a proof

1724576304491.png
 
Nikuogope wee muendesha mkokoteni kisa umeweza kujua gari langu ni aina gani? 🤣 🤣 🤣
Enyewe una shida. Hapa mimi ukinionyesha Bugatti kwa ndani nitakuambia hiyo ni Bugatti tena model yenyewe nitakupa ila sina uwezo wa kuinunua hiyo Bugatti, sasa pia nipige kelele eti mniogope kisa naweza itambua Bugatti kwa ndani? Wewe baki hapo ukigoogle magari wakati wanaume wengine wanayanunua. 🤣🤣
Hii umedunga kwa bone marrow direct😂🤣😂
 
Na Yule jamaa wa ukimwi with pale hands umewacha wapi?😂😂🤣😂.

Lakini fala zaidi ni huyu Venus something. Jamaa atakuambia yeye ni expert in almost everything but in reality hajui chochote, juzi tu hapa alishindwa kuhesabu number plates za gari akaanza matusi. 😂😂🤣😂
Huyo alipata kazi ya uwatchman serikalini akaona amefika. Kila mara, ''nimeajiriwa na serikali''. Alafu serikali yenyewe ni ya Bongo inayolipa clinical officer 25k za Kenya kwa mwezi, sasa yeye watchman atafikisha 10k kweli? 🤣 🤣
 
Huyo alipata kazi ya uwatchman serikalini akaona amefika. Kila mara, ''nimeajiriwa ma serikali''. Alafu serikali yenyewe ni ya Bongo inayolipa clinical officer 25k za Kenya kwa mwezi, sasa yeye watchman atafikisha 10k kweli? 🤣 🤣
Ndio maana anaficha pesa chini ya kitanda. Pesa analipwa haoni haja ya kuipeleka bank cause itaisha hata before 10th day of the month😂😂🤣😂.

Ati nafanya kazi serikalini kumbe ni kazi ya watchman with a monthly salary of less than $75😂😂🤣😂
 
Huyo alipata kazi ya uwatchman serikalini akaona amefika. Kila mara, ''nimeajiriwa ma serikali''. Alafu serikali yenyewe ni ya Bongo inayolipa clinical officer 25k za Kenya kwa mwezi, sasa yeye watchman atafikisha 10k kweli? 🤣 🤣
Everyone knows that Kundudwellers are insecure. Unashambulia kila mtu hata ambaye hakuhusu. Huo ni umaskini
 
Amaemua kutetea watchman aka The best 007 and baboon aka Sama boy 255 😂😂🤣😂
Niendelee nisiendelee?

1724580129234.png

Back
Top Bottom