NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,393
- 17,974
Unataka nikueleze kwa Nini Mombasa imeendelea kuliko Mwanza?Yaliyofanya useme Mwanza imezidiwa.
Unataka nikueleze kwa Nini Mombasa imeendelea kuliko Mwanza?Yaliyofanya useme Mwanza imezidiwa.
Si hizo pia mnanunua. From Kenya and being exported to Tanzania 😂😂👇👇
View: https://x.com/BusesNation/status/1826678122647044346
Hili ni gari au mkokoteni? Unashindwa kusafisha gari utaweza kweli kujadiliana na sisi?Nimepatana na zingine plain white za Banbros Leo pale Salama kama zimefuatana nikitoka Mombasa. Nadhani either zinaelekea Mombasa ama Vumbistan.
View attachment 3078580
Yah,chasses za malori hizo,TZ hizo aziruhusiwi kubeba watu
Jamaa hata hajui rangi za nguo zinamaanisha nn, kavaa manguo ya mtumba alafu yote meusi mpaka SGR 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapa alikua Msibani? 😂
Nilishangaa sana aisee kuona uwanja upo vile, uwanja ambao wakundustan huwa wanaufananisha na mkapa, yani tukiwapiga kwenye stadium wanakimbilia amahoro kwamba eti unalingana na mkapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kweli Africa ni Africa tu, Naona hapa Azam na APR uwanja wa Amahoro wa juzi pitch ishageuka viraka not smooth, Maintenance ni janga Africa.
Sipati picha Simba na Yanga wakiwa na viwanja vyao kwa Mkapa patakuwaje, Maana hizo clubs mbili zinafanya Serikali ilazimike kufanyia matengenezo kila mwaka kukidhi CAF standards
Kama hawa wachawi wameanza kupenda magari za Kenya tena. This Banbrose beauty you can’t find in those fake Chinese buses.Nimepatana na zingine plain white za Banbros Leo pale Salama kama zimefuatana nikitoka Mombasa. Nadhani either zinaelekea Mombasa ama Vumbistan.
View attachment 3078580
Wewe ngoja uombe pastor lift bwana 😂😂🤣😂.Hili ni gari au mkokoteni? Unashindwa kusafisha gari utaweza kweli kujadiliana na sisi?
Hii Isuzu haipati hata maji. Naona ha AC yake ni shida
View attachment 3078587
Kundudweller siku hizi huna hata hoja, unatuandikia taarabu tu. Kwisha habari yakoWewe ngoja uombe pastor lift bwana 😂😂🤣😂.
Huna baiskeli na unaongelea wenye wako na gari.
Bro, sisi hatutembei kwa gari moja tuu, magari ni mengi. Hili ni gari langu la kazi, sii la starehe. Mimi nina kampuni ya ujenzi na ninapotembelea site zangu za ujenzi mimi hubeba material nawapelekea mafundi. Hili ni gari linalopitia rough road na kufanya kazi nyingi na ninalipenda sana maana ni gari very strong and reliable. Picha yake kwa nje hii hapa. Wewe endelea kuomba Pastor wako lift kwa Toyota Vits.Hili ni gari au mkokoteni? Unashindwa kusafisha gari utaweza kweli kujadiliana na sisi?
Hii Isuzu haipati hata maji. Naona ha AC yake ni shida
View attachment 3078587
Inawezekana yeye ni undertaker 🤣🤣🤣Jamaa hata hajui rangi za nguo zinamaanisha nn, kavaa manguo ya mtumba alafu yote meusi mpaka SGR 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haiondoi kuwa gari ni chafu na inaonesha kuwa wewe ni mchafu sana. Just kusafisha ndani kwa kutumia kitambaa tu unashidwa?Bro, sisi hatutembei kwa gari moja tuu, magari ni mengi. Hili ni gari langu la kazi, sii la starehe. Mimi nina kampuni ya ujenzi na ninapotembelea site zangu za ujenzi mimi hubeba material nawapelekea mafundi. Hili ni gari linalopitia rough road na kufanya kazi nyingi na ninalipenda sana maana ni gari very strong and reliable. Picha yake kwa nje hii hapa. Wewe endelea kuomba Pastor wako lift kwa Toyota Vits.
View attachment 3078642
View attachment 3078643
Probox, Hiace na tetanus za panel beaters 🤣🤣🤣🤣Wamajisifu wamaunda mabasi na Barabarani hayapo wanatumia probox
Huku zinauzwa bei chee sana hizo kijanaBro, sisi hatutembei kwa gari moja tuu, magari ni mengi. Hili ni gari langu la kazi, sii la starehe. Mimi nina kampuni ya ujenzi na ninapotembelea site zangu za ujenzi mimi hubeba material nawapelekea mafundi. Hili ni gari linalopitia rough road na kufanya kazi nyingi na ninalipenda sana maana ni gari very strong and reliable. Picha yake kwa nje hii hapa. Wewe endelea kuomba Pastor wako lift kwa Toyota Vits.
View attachment 3078642
View attachment 3078643
No problem, mimi niliinunua ikiwa mpya, ninayo miaka saba sahii na bado inanipigia kazi ninayotaka. Hivi wewe huo mkokoteni wako ulinunua shilingi ngapi?
Siku hizi tunapiga hawa wachawi mangumi mazito zito 😂😂🤣😂. Ushaihumdua wenye wanapiga kelele hapa hata baiskeli hawana?😂Bro, sisi hatutembei kwa gari moja tuu, magari ni mengi. Hili ni gari langu la kazi, sii la starehe. Mimi nina kampuni ya ujenzi na ninapotembelea site zangu za ujenzi mimi hubeba material nawapelekea mafundi. Hili ni gari linalopitia rough road na kufanya kazi nyingi na ninalipenda sana maana ni gari very strong and reliable. Picha yake kwa nje hii hapa. Wewe endelea kuomba Pastor wako lift kwa Toyota Vits.
View attachment 3078642
View attachment 3078643