Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo jamaa kuna comment zingine huwa nacheka sn, yani ana maneno ya kifukara mnooo, kuna muda mpaka nacheka, inawezekanaje mtu akafikiria kitu kama hiki, hayo maneno huwa nawasikia walalahoi (wanajiitaga hivyo) nahisi jamaa ametoka familia ya kimaskini sn na ndiyo maana mpaka leo hajui kuvaa licha ya kusema kapata kazi lkn angalia nguo anazovaa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Bila shaka, hata mapozi yake.
 
Nyinyi ndio mnapigania mambo ya bus companies. Sisi tunaongelea bus production which is not happening in Tanzania๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ. Kama kuna any bus production going on in Tz Ebu tuonyeshe the latest imetolewa lini.

Ya Kenya ndio hii hapa released yesterday.

View: https://x.com/ScaniaEA/status/1827040658743341539

Bus Production serious hiyo lugha yenu nayo ni chenga au?

Why hizo basi zisizagae Kenya nzima cha ajabu ni za kutafuta. Kwingine ni "GARI BAYAAA? BABAKO ANALO?"

PROBOX inazipiku Bus as mode of transportation huko Ukunyani alafu unatupigia eti Production hata hujui maana yake
 
Chuma hicho kinatoka kiwandani Iringa ๐Ÿค“
IMG_20240824_193710.jpg
 
Kweli Africa ni Africa tu, Naona hapa Azam na APR uwanja wa Amahoro wa juzi pitch ishageuka viraka not smooth, Maintenance ni janga Africa.

Sipati picha Simba na Yanga wakiwa na viwanja vyao kwa Mkapa patakuwaje, Maana hizo clubs mbili zinafanya Serikali ilazimike kufanyia matengenezo kila mwaka kukidhi CAF standards
 
Una umasikini si wa dunia hii, bila shaka ulipokua mtoto mkikaanga chapati unazunguka nayo mtaa mzima unakula ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwa hivo akipost basi la Kenya ni umaskini, nyinyi mkipost basi la Tanzania ni utajiri? Unafiki.
 
Kweli Africa ni Africa tu, Naona hapa Azam na APR uwanja wa Amahoro wa juzi pitch ishageuka viraka not smooth, Maintenance ni janga Africa.

Sipati picha Simba na Yanga wakiwa na viwanja vyao kwa Mkapa patakuwaje, Maana hizo clubs mbili zinafanya Serikali ilazimike kufanyia matengenezo kila mwaka kukidhi CAF standards
Mkapa tayari ni viraka. Labda kama hutaki kuona ukweli.
 
Back
Top Bottom