Unapenda udaku wewe😁Usipoteze hii picha. Sasa wakitoa ile ya BJ50 tunajibu na hii.🤣 🤣 🤣
Unapenda udaku wewe😁Usipoteze hii picha. Sasa wakitoa ile ya BJ50 tunajibu na hii.🤣 🤣 🤣
Mikono ya aina hii hupatikana kwa casual labourers na handymenNajua unaumia sn ila vumilia, mm contawa sio wa kunitisha na H.I.V wakati dawa naijua, baki humu na buti la SGR na shati lako la mtumba, alafu angalia kono ilo, kuanzia leo nakuita makono 👇👇🤣🤣🤣View attachment 3078071 hapo chini pia kono likaonekana, mkono mgumuuu👇👇🤣🤣🤣View attachment 3078068
Just accept the truth there is no bus building in Tanzania, pesa zote mnabeba na kupeleka China. Hadi jina la basi mnaandikiwa na wachina😂😂🤣.Bus Production serious hiyo lugha yenu nayo ni chenga au?
Why hizo basi zisizagae Kenya nzima cha ajabu ni za kutafuta. Kwingine ni "GARI BAYAAA? BABAKO ANALO?"
PROBOX inazipiku Bus as mode of transportation huko Ukunyani alafu unatupigia eti Production hata hujui maana yake
Kwani zile three marcopolo heading to Tanzania zimetoka wapi?Uzuri umeacha ku-claim mabasi ya Tanzania yanatoka Ukunyani! Umefyata!
Hiyo mikono ngumu Kwani wewe Huoni?Mikono ya aina hii hupatikana kwa casual labourers na handymen
Mbona imepauka hivyo au ulitoka kuvaa latex gloves ukaosha mikono na 70% alcohol. Just curious though 😁Hiyo mikono ngumu Kwani wewe Huoni?
Kama unataka kuona mikono yangu just say. My hand is softer than 99% of Tanzanians in this thread😂🤣Mbona imepauka hivyo au ulitoka kuvaa latex gloves ukaosha mikono na 70% alcohol. Just curious though 😁
Miundombinu kama hii hata haogopi? 😁
Hiyo picha ya mwisho ni bus la wapi?
Burundi pia ni nchi ya kupigia kelele? Mbona Azam hawangefunga hile timu ya Rwanda?😂😂🤣Kundudwellers kama kawaida yenu. Kipigo hiki mnakionaje? vijana kutoka Kundustan
View attachment 3078363
Kundudwellers mnasemaje kipigo cha 6G?Burundi pia ni nchi ya kupigia kelele? Mbona Azam hawangefunga hile timu ya Rwanda?😂😂🤣
Kumbe girl maria bado ina ban ya Fifa eeh.? 😂😂😂Tunaomba matokeo ya Mshindi wenu wa pili Azam 😂😂😂
Kumbuka APR ni bingwa wa Rwanda.Burundi pia ni nchi ya kupigia kelele? Mbona Azam hawangefunga hile timu ya Rwanda?😂😂🤣
The last time Gor played that APR😂😂🤣👇👇Kumbuka APR ni bingwa wa Rwanda.
Hata ninyi Gormahia mngekutana na APR msingefua dafu.
APR ina experience kipindi cha miaka hii mitatu minne kwa kushiriki michuano tofauti tofauti.