Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargas angalia mkono wangu jinsi ulivyo, haujazoea shida, na ndiyo watanzania wengi tupo hivyo cz hatuna maisha magumu kama nyie, yn wewe kono lako jinsi nikiliangalia hata msumari haupiti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3078079
Check hao Kundudwellers wasianze kusoma alana za kiganja chako
 
TRC imetowa pesa ngapi kujenga SGR?😂😂🤣

As long as deni la SGR haijalipwa that SGR is not yours😂😂🤣
Kwa upumbavu wako unadhani Tanzania kama Kenya kisa kitu kimejengwa kwa mkopo basi mdai anaendesha shirika!??
Sgr ya Tanzania ni mali ya TRC Tanzania Railways Corporation.
Wadai watalipwa na shirika hadi sasa linaendeshwa na TRC sio kama ninyi.
 
KDF can destroy Dar while sipping tea back in their barracks… Non NATO ally manenos
IMG_4391.jpeg
 
Ila wachina wanadharau hadi bango la mradi limeandikwa kwa kichina kwanini huu uhanithi hawafanyi Tz?
Mara nyingi ukiona maandiko ya Kichinia, jua ni wao ndio wanafadhili mradi.

Mradi ni mali yao na ni haki yao ya kimsingi kabisa kufanya hivyo hasa kwa taifa tata na lenye diplomasia ya kimalaya kama Kenya.
 
Back
Top Bottom