Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Malawi wanazungumza kingereza kizuri lakini wasichana wao wengi wanafanya kazi za ndani hapa bongo "house geli".
Unakutana na "house geli" anabonga kingereza kimenyooka. 😂😂😂
That means you're our Malawi. Mombasa is full of Tanzanian house girls. Nairobi is full of Ugandan, Rwandan and Burundian house girls.
 
Kwamba Bus ndio mnapigiziana kelele?

Kuna nchi haina Organization ya public transportation inalinganishwa na Nchi yenye Modern and advanced public transportation.

Bus za kuchagua toka kampuni 3-4 vs Bus from 500 companies.

Nchi ambayo sehemu nyingine ni Fuso imechongwa?

While nchi nyingine kila routes same level.

Nipe mkoa ambao hauna Dedicated Bus companies?

Hao wanaobeza wachina je, wanajua kua kuna Companies za Bus zina Kabisa mkataba na kiwanda kutumia Basi zao tu kwa FLEET na kuwapa dealership privileged, hivyo kuwaungia wengine kununua.

Can they manage?

Au ndio waombe engine wachonge body?
 
Ndio vilaza wanatoka porini pole pole., bado wako vichakani, wasamehe hawajazoea wanaona ni ulaya eti🤣🤣🤣🤣
Wee huoni kama ulaya hapa 👇 👇
Screenshot_20240803-111659~2.png
Screenshot_20240818-103149~2.png
Screenshot_20240803-111017~2.png
Screenshot_20240802-111249~2.png
tanzania-s-sgr-project-track.jpg
Screenshot_20240704-122130~2.png

Vs👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240727-101151~2.png
 
Kwamba Bus ndio mnapigiziana kelele?

Kuna nchi haina Organization ya public transportation inalinganishwa na Nchi yenye Modern and advanced public transportation.

Bus za kuchagua toka kampuni 3-4 vs Bus from 500 companies.

Nchi ambayo sehemu nyingine ni Fuso imechongwa?

While nchi nyingine kila routes same level.

Nipe mkoa ambao hauna Dedicated Bus companies?

Hao wanaobeza wachina je, wanajua kua kuna Companies za Bus zina Kabisa mkataba na kiwanda kutumia Basi zao tu kwa FLEET na kuwapa dealership privileged, hivyo kuwaungia wengine kununua.

Can they manage?

Au ndio waombe engine wachonge body?
Nyinyi ndio mnapigania mambo ya bus companies. Sisi tunaongelea bus production which is not happening in Tanzania😂😂🤣. Kama kuna any bus production going on in Tz Ebu tuonyeshe the latest imetolewa lini.

Ya Kenya ndio hii hapa released yesterday.


View: https://x.com/ScaniaEA/status/1827040658743341539
 
Una umasikini si wa dunia hii, bila shaka ulipokua mtoto mkikaanga chapati unazunguka nayo mtaa mzima unakula 😂😂😂😂
Huyo jamaa kuna comment zingine huwa nacheka sn, yani ana maneno ya kifukara mnooo, kuna muda mpaka nacheka, inawezekanaje mtu akafikiria kitu kama hiki, hayo maneno huwa nawasikia walalahoi (wanajiitaga hivyo) nahisi jamaa ametoka familia ya kimaskini sn na ndiyo maana mpaka leo hajui kuvaa licha ya kusema kapata kazi lkn angalia nguo anazovaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Toka huko kibera kijana mbona Singida Black Stars au Namungo wanaweza wapa mkaleta mtu akiwika unaanza ita REJECT ili mradi roho yako isuuzike.

Ligi nzima njaa kali
Show us your league biggest sell😂😂🤣
 
Napenda jinsi watanzania wanavyovaa smart wakitumia SGR.
World class infrastracture zinasababisha hata watu wavae kiworld class
Hakika sijaona hata mmojawapo wa Watanzania hawa akivaa koti kubwa oversize la mtumba kama wakunya kina Teargas .
bila shaka kwa mwonekano wa abiria hawa wa Train hizi za Kisasa zaidi Africa mashariki na kati ni wazi watanzania wanajiweza kiuchumi na pia vichwani wako sophisticated. Nami natafuta kasafari ka dom kasiko na agenda nikamwagilie moyo makao makuu ya nchi . Nitupie viwalo vya world class kwenye usafiri world class . Looks like hapa jukwaani ni mimi pekeangu sijadandia usafiri huu wa kinyamwezi.
 
Back
Top Bottom