The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,537
Simba Queens ni Extension ya harambee starlets team B
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1826208186296127755?t=-VdGpoFffRMNGAnIgSgMZg&s=19
Sisi hatubagui yoyote mwenye uwezo atacheza Tanzania ambayo ndiyo ndoto ya wachezaji wote EA, kwasasa tunawakaribisha wanawake kutoka mataifa yote duniani kuja kukuukuza mpira wetu wa wanawake lkn sio wanaume mana kwa wanaume cku hizi tunachukua ma MVP tu kutoka ligi tofauti Africa na ligi nyingine duniani, nyie wakenya kwa sasa tunachukua wanawake tu mana kwa upande wa wanaume hakuna nafasi kwa sasa.