Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just why kenya is just a country sio Nation. Kuna tofauti kubwa kati ya nchi na Taifa.
Kwani Kenya is the only Country in the world with toll roads? Si hata nyinyi mko nayo? Ama hile barabara yenu ya Toll magari hupitia free?
 
Haya shida yako nini haitabadilisha chochote kile inatakiwa wahamie msomera wapende wasipende
Tunabebwa aje yet we are exposing him? Mnaobebwa ni nyinyi mnaodanganywa huku mkiimba nyimbo za sifa kwa siisiiemu. Huku kwetu tunamuambia Rais ukweli. Akileta uongo tunamuexpose papo hapo. Huko kwenu mnabebwa ufala tu na mpo mpo. Wale wajanja kidogo wanaojaribu kuwaelimisha either wapigwe risasi ama wahame nchi waongelee ughaibuni na bado mtakua mstari wa kwanza kuwaita maadui wa Tanzania. Oneni hapa mnaitetea serikali ikiwanyanyasa Wamaasai Hadi mnawaita Wakenya.

View: https://vm.tiktok.com/ZMr7kjcAJ/
 
Wewe mpumbavu Origi na Masai communities wapo ancstra lands in Ukunyani?
 
Haya shida yako nini haitabadilisha chochote kile inatakiwa wahamie msomera wapende wasipende
Nasikia hawa masai wa kundudweller nasikia nao wanaandamana kupinga masai wa ngorongoro kuhamishwa 😀,hawa watakosa sehemu ya kulishia mifugo yao 😀
 
Attachments

  • 33251dcb3b3dc15bacfa02a0a14e0c3c.mp4
    33.7 MB
Mombasa

1724314841792.jpeg

1724314862086.jpeg

1724314890770.jpeg

1724314912392.jpeg
 
Mtanganyika anajua nni kuhusu kiswahili?
Anajua mengi kuhusu kiswahili kwasababu kimeanzia kwake.
Mji wa kwanza hapa Afrika mashariki ulikua ni wa Kilwa na Zanzibar.
Na ndio maana hata misamiati mpya inatoka huku Tanzania sio Kenya.
 
Back
Top Bottom