Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Top notch International workmanship
Wekeni ufanisi wa mwendo katika treni zenu.Top notch International workmanship
View attachment 3050224
Hebu wewe tuambie kuna umbali gani wakutoka kwenye sakafu mpaka ndani train hapo hebu leta vipimo 🤣🤣🤣🤣🤣 au ww unahisi watu wanapandaje humo ndani ??
Alichaguliwa lini kuwa msemaji wa serikali 😬Sikiliza mkenya mwenzako akilia SGR ya TZ 🤣
Sio dhambi kusikiliza 🤣🤣🤣Alichaguliwa lini kuwa msemaji wa serikali 😬
Kwani Gen Z nao wamechaguliwa kwa wasemaji wa serikali!?Alichaguliwa lini kuwa msemaji wa serikali 😬
Sio dhambi kusikiliza 🤣🤣🤣Alichaguliwa lini kuwa msemaji wa serikali 😬
Sio dhambi kusikiliza 🤣🤣🤣Alichaguliwa lini kuwa msemaji wa serikali 😬
Kumbuka tuna mabehewa doubledeck! hebu onyesha doubledeck PAX wagons huko Ukunyani!Alafu mbona mjenge shade bonoko kama hii?🤣🤣😂😂
Unashuka tu hivi unanyeshewa na mvua. See the distance between the edge of the shade and the train door😂😂🤣👇👇
View attachment 3050215
Kila mmoja na opinion yake, iwe Gen Z ama millenial.Kwani Gen Z nao wamechaguliwa kwa wasemaji wa serikali!?
Mtumba usisahau.Kumbuka tuna mabehewa doubledeck! hebu onyesha doubledeck PAX wagons huko Ukunyani!
Huyu naye wa kwanza mswahili!?Alafu hapa kuna ubaguzi mbaya🤣🤣🤣
Coach ya waafrika. Wale nyeusi😂😂.
View attachment 3050225
Coach ya wahindi😂😂👇🤣🤣🤣👇👇
View attachment 3050228
Unafikiri muuza mbuzi sama boy ataruhusiwa kunikisha jasho la mbuzi hapo.Alafu hapa kuna ubaguzi mbaya🤣🤣🤣
Coach ya waafrika. Wale nyeusi😂😂.
View attachment 3050225
Coach ya wahindi😂😂👇🤣🤣🤣👇👇
View attachment 3050228
Huyu naye ni Muhindi wa hapo katikati!?Alafu hapa kuna ubaguzi mbaya🤣🤣🤣
Coach ya waafrika. Wale nyeusi😂😂.
View attachment 3050225
Coach ya wahindi😂😂👇🤣🤣🤣👇👇
View attachment 3050228
Basi huyo anayeongea pia ni maoni yake wacha kuuliza ameajiriwa lini na Gok.Kila mmoja na opinion yake, iwe Gen Z ama millenial.
Sasa hayo maoni yake jf yanafanya niniBasi huyo anayeongea pia ni maoni yake wacha kuuliza ameajiriwa lini na Gok.