Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Please explain, kwa nini mabasi mapya, yameandamana Namanga?
Temporary number plates na bila wasafiri.

Tweleze kama hii si delivery kwenda kwa customer bongo, ni nini?
Tanzania asilimia 95 ni chinnese bus isipokua 5% utakuta scania, benz etc

Ndio maana Chinese bus zinanunuliwa kwa mafungu kama nyanya sokoni😂😂

View: https://www.instagram.com/reel/C-pN8JSquES/?igsh=ZmsyNDJkamV3OTRi

View: https://www.instagram.com/p/C-2rjLVK9sb/?igsh=MXBjeG41NXo3ZG40NA==
 
This is a random guy being interviewed in the streets in Kenya. That's what the average Kenyan sounds speaking English. Read the comments and see the appreciation.

View: https://vm.tiktok.com/ZMrWGg7R9/

Nyie mnafeli sana na yote hii ni kwa sababu ya kutaka sifa kupita kiasi na kwa kila jambo.

Mnadai idadi kubwa ya Wakenya wamesoma sana na idadi kubwa ya Wakenya wameattend university na wako mtaani bila kazi but at the same time, hao waliokuwa street kama huyu mnamuita ordinary ili tu mpate sifa za kijinga.

Do you know huyu jamaa in person na elimu yake?
 
Stop being petty, average is not a negative word. Wacha mafeelings za ufala.
 
Stop being petty, average is not a negative word. Wacha mafeelings za ufala.
Petty inatoka wapi wakati karibia kila mtu huko kwenu ameattend university na ni msomi, si ndio mnavyo jigamba. Sasa how come huyu mna mtalk down upon ilikujipatia sifa kuwa hata walio chini wako juu?

There is nothing petty about what I said.
 
Kwanini sasa unalazimisha Bus iwe ya Tanzania wakati haina registration no ya Tanzania? Who told you hiyo bus ni ya Tanzania? 🤣 🤣 🤣 🤣
Na ni wapi alisema ni ya Tanganyika wewe bongolala? Mbona unalazimisha Mambo?
 
Back
Top Bottom