Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
These people are natural jokers just like their ancestors mzee Ojwang na mana Kayaii 😁BRT has more than 300 buses.
Unaleta 24
Venus Star Inakaa unaipenda CUF kinomaaa! yaani kindakindaki!By CAF!
Wangekuwa na akili wangekuja kuomba vijana wetu wa under 20 na from junior teams ili iwasaidie kutoka hapo walipo sasa hivi
Kujikweza wakati hata chakula wanashindwa ku-afford!Teargas atakuambia hilo bus limetengenezwa kwa nyang'au😎😎😎
Ukisema hawajui kizungu wanaanza kukutolea clips za Wakenya walio na thick accent wakiongea.😂😂Wametukanwa na wanafurahi 😂
Huwa inachekesha sana kuona mjinga akiita wenzie wajinga bila kuona ujinga wake. Nani kakwambia lugha huanzia mjini? Hivi hujui lugha ndio chanzo cha mji? Hivi hujui miji mingi duniani imeanzishwa na lugha? Niambie wee Msukuma, kisukuma kimeanzishwa na mji gani kama unadhani mji ndio huanzisha lugha? Hizo Kilwa na Zanzibar zote zimeanzishwa na lugha ya Kiswahili. Bila Kiswahili hakungekuwa na Kilwa wala Zanzibar.Yani kaka huko mbali,kitendo cha mtu kusema kiswahili kimeanzia Lamu kabla Lamu haijawa mji ni kichekesho tosha😂😂😂😂.
Sijaiona popote pale hilo dish, karne hii ya smart TV hata DSTV zimepoteaTo be honest I don't know anyone with an Azam decoder. Hata hio dish yao sijawai kuona in any place in Nairobi.
Wwe jamaa ni mpumbavu, hizi vitu unaongea ni taaluma za watu, kwa historia ya lugha ya kiswahili mpaka tunavyokuanacho hiv sasa ni dhahiri shahiri miji ilianza kabla ya lugha..Huwa inachekesha sana kuona mjinga akiita wenzie wajinga bila kuona ujinga wake. Nani kakwambia lugha huanzia mjini? Hivi hujui lugha ndio chanzo cha mji? Hivi hujui miji mingi duniani imeanzishwa na lugha? Niambie wee Msukuma, kisukuma kimeanzishwa na mji gani kama unadhani mji ndio huanzisha lugha? Hizo Kilwa na Zanzibar zote zimeanzishwa na lugha ya Kiswahili. Bila Kiswahili hakungekuwa na Kilwa wala Zanzibar.
Huu ni uongo unaongea. PoleSijaiona popote pale hilo dish, karne hii ya smart TV hata DSTV zimepotea
Huko kwao radio na Tv habari ni za Wasafi, Zuchu, Dayamondi, Yanga na Simba. Wakitaka real news lazima waangalie station za Kenya.Make no mistake vumbistan wana consume sana media zetu, unapata wanaangalia habari za Citizen badala ya TBC. Unakuta wanajua county zetu zote 47 na majina ya ma governors. Kuna siku citizen waliweka headline ya ukaidi wa magufuli dah balaa, embassy yao walikuja na hasira kwamba wamedhalilishwa 😂😂
Leta hizo studies tujisomeeWwe jamaa ni mpumbavu, hizi vitu unaongea ni taaluma za watu, kwa historia ya lugha ya kiswahili mpaka tunavyokuanacho hiv sasa ni dhahiri shahiri miji ilianza kabla ya lugha..
Ever heard of pidgin or creole .? Zamani kulikuwako na lugha zinaitwa lugha za kibantu, all the communities were speaking different kutoka jamii moja na nyingine, walivyokutanishwa na biashara be it batter trade or whatever, ndio kupatikana kwa hizo zenye wanaita pidgin (language generated after the interaction of two different language speakers) taratibu kiswahili kikaanza kupatikana baada ya kuokoteza misamiati mipya from all those different speakers, the ikapatikana creole (the developed pidgin)
Baadae kukomaa kwa lugha iliyopatikana kutokana na interaction za watu tofauti zilizosababishwa na biashara n.k then the first developed kiswahili speaking community ni Kilwa.
Why we claim kiswahili is ours (Tanzanian language)
Studies zimefanywa na wasomi, maneno mengi ya kiswahili 60% ni kiunguja, 30% kiarabu, 10% of kiswahili words ndio kimetoka kwenye hizo dialects zingine.
Shida ni elimu yako ndogo, halafu unataka kujadili vitu huvijui, wewe ni mpumbavu. 😂😂😂 NairobiWalker tuliza tako wewe ni underdog.
Huu ni unaongea ni uongo na ni upumbavu, wacha kuzungumza vitu huna yakini navyo, very stupid.Huko kwao radio na Tv habari ni za Wasafi, Zuchu, Dayamondi, Yanga na Simba. Wakitaka real news lazima waangalie station za Kenya.
Ooh kumbe ni suala la shule 😂😂😂 watu wajionee, kumbe tunabishana na mbuzi hizi vitu zinaropoka, sisi tulikaa darasani budaa.Leta hizo studies tujisomee
Wewe ulikaa darasani sisi ndo lugha zetu, Mimi sio mmijikenda lakini lugha yao naielewa Kama kiswahili.Ooh kumbe ni suala la shule 😂😂😂 watu wajionee, kumbe tunabishana na mbuzi hizi vitu zinaropoka, sisi tulikaa darasani budaa.
Tatizo pesa kaka.Wangekuwa na akili wangekuja kuomba vijana wetu wa under 20 na from junior teams ili iwasaidie kutoka hapo walipo sasa hivi