Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Huna hoja yoyota ya kushindana na mimi tuliza pumbu, mimi hata sio league yako Bro.Wewe ulikaa darasani sisi ndo lugha zetu, Mimi sio mmijikenda lakini lugha yao naielewa Kama kiswahili.
Huna hoja yoyota ya kushindana na mimi tuliza pumbu, mimi hata sio league yako Bro.Wewe ulikaa darasani sisi ndo lugha zetu, Mimi sio mmijikenda lakini lugha yao naielewa Kama kiswahili.
Kaka asante. Nitajirekebisha.Venus Star Inakaa unaipenda CUF kinomaaa! yaani kindakindaki!
Ujinga ujinga tu. Kwahiyo Lamu ndio walioleta Lahaja zote zilizipo za kiswahili?Huwa inachekesha sana kuona mjinga akiita wenzie wajinga bila kuona ujinga wake. Nani kakwambia lugha huanzia mjini? Hivi hujui lugha ndio chanzo cha mji? Hivi hujui miji mingi duniani imeanzishwa na lugha? Niambie wee Msukuma, kisukuma kimeanzishwa na mji gani kama unadhani mji ndio huanzisha lugha? Hizo Kilwa na Zanzibar zote zimeanzishwa na lugha ya Kiswahili. Bila Kiswahili hakungekuwa na Kilwa wala Zanzibar.
Kwa maelezo ya huyo mpumbavu, inaonyesha wazi hajui chochote kuhusiana na lahaja.Ujinga ujinga tu. Kwahiyo Lamu ndio walioleta Lahaja zote zilizipo za kiswahili?
Tatizo la jamaa huyo anadhani kiswahili kilianza. Yaani mfano Kama wimbo fulani unaanza kuimbwa na mtu fulani au jamii fulani.Kwa maelezo ya huyo mpumbavu, inaonyesha wazi hajui chochote kuhusiana na lahaja.
Kizungu ndio lugha gani?Ukisema hawajui kizungu wanaanza kukutolea clips za Wakenya walio na thick accent wakiongea.😂😂
CC RRONDO
Rais anaweza tukanwa asijue na bado unaongelea Kiingereza kibovu? 🤣 🤣Thick accent na Kiingereza kibovu.
Jamaa anataka kudanganya kweupe.😂😂I only know Ruto, Gachagua and Joho😂😂🤣👇👇
Pole basi.😂😂Wewe unajua all politicians from Kenya😂😂🤣👇👇
Hizi ni vitu za darasani Bro, ajabu kuna kilaza mmoja anajitokeza kujadili na yeye eti 😂😂😂Tatizo la jamaa huyo anadhani kiswahili kilianza. Yaani mfano Kama wimbo fulani unaanza kuimbwa na mtu fulani au jamii fulani.
Mimi nilimweleza tangu juzi, kiswahili Kiliibuka (emerged), hakikuanza (started).
Nilimuuliza kama kilianza inabidi atuambie ni nani aliyekianzisha.
Lugha huwa haianzi, lugha inaibuka
Na mpaka sasa kiswahili bado kinakua. Inazaliwa misamiati mbalimbali na baadae kuwa maneno ya kawaida kabisa.
😂😂Thick accent na Kiingereza kibovu.
This got nothing to do with your broken English and funny accent.Rais anaweza tukanwa asijue na bado unaongelea Kiingereza kibovu? 🤣 🤣
NairobiWalker what the fck is this? From the so called English best speakers in EA.
No, it has something to do with your zero understanding of English though.This got nothing to do with your broken English and funny accent.
Upande wa pili..
View: https://youtu.be/BzDPVtb_Hqg?si=0K690nNMFNNGzCbM
MY TAKE
Kama wanajitekenya vile?
Huwezi amini kwenye masoko Tanzania Butcher hazina mpinzani kwenye usafi.Butcher iko hvi alaf nyama za kuliwa na binaadamu zinapigwa na vumbi, wadudu wakila Aina wanagusa nyama ya kuliwa na binaadamu alooo 🙌🙌🙌🙌🙌
Kwenye utu na kuthamini mkenya ni kama anasa kubwa Sana
View attachment 3074010View attachment 3074011