Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ruto anaakili Sana 🤣🤣🤣🤣🤣

Kaona awape matumaini wakenya na mapema kabla mambo haijachemka

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ruto smart Sana

IMG-20240820-WA0000.jpg
 
Kuna mpuzi Fulani Geza Ulole alikuwa anasema BasiGo wameuza basi 50 pekee tangu waanze. Kama kampuni Moja inanunua basi 24 kwa mpigo Sasa kijumla kwa mwaka je?😂😂
1000252119.jpg
 
Back
Top Bottom