Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We do not play with Underdog. Tunacheza na Al Ahly na wengine wakubwa wenzetu.

View attachment 3074998
Endelea kupiga kelele😂😂🤣👇👇

1724164416199.png
 
Kucha
View attachment 3074996
Alafu sura na mavazi! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3075000
Mdomo inakaa kama ya ngiri.

Yani mtu hawezi hata practice good grooming amantain hata kucha zake alafu yupo busy kutupigia kelele hapa na kutumia matusi humu. Si hiyo nguvu yote atumie kusafisha kucha zake na kununua manguo za maana? Bure kabisa!
Trivial issues nendeni mkaongelee huko kibera. Tuletee information za development
 
Kucha
View attachment 3074996
Alafu sura na mavazi! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3075000
Mdomo inakaa kama ya ngiri.

Yani mtu hawezi hata practice good grooming amantain hata kucha zake alafu yupo busy kutupigia kelele hapa na kutumia matusi humu. Si hiyo nguvu yote atumie kusafisha kucha zake na kununua manguo za maana? Bure kabisa!
By the way sijui mbona jamaa aliziba hizi sides. Ama ako na vidonda?😂😂🤣🤣
 
Tupe mbuga zao hapa. Idadi kubwa ya wanyama ulimwenguni ipo Tanzania kuanzia Simba kuendelea. Apart from Kruger wanayoshea na nchi zingine ni mbuga ipi tena?

Kuna nini cha ajabu kwenye mbuga zao zaidi ya wanyama wachache kuzurura hovyo?
Kuna maajabu ya bonde la Ngorongoro? Kuna maajabu ya migration ndani ya Serengeti? Kuna maajabu ya Simba kupanda kwenye miti ndani ya Ruaha?

Hakuna mbuga yeyote ulimwenguni yenye camera nyingi za kurecord maisha ya mbugani zaidi ya Serengeti.
Sio Mimi nimesema bro.😂😂😂
Unanikasirikia kwa maoni ya mwengine wewe usiyekubali kushindwa?😂😂😂
 
Back
Top Bottom