Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulikuwa tunawachukulia kama ndugu zetu, but now tumeshawajua kuwa ni adui zetu no. 1

Tutawashughulikia kila angle
Sasa Tanganyika hata iwe adui ya Kenya tutapoteza nini? Wacha kujiliwaza bongolala
 
Ni akili tu ya mwenye decoder. Anaamini kuna Wakenya Tz wataangalia channels zao. Nina DSTV hata sijui channels za Kenya ziko namba gani.
Lakini unajua majina ya governors wetu hadi na manaibu wao. Sisi huku hata vice president wenu hatumjui Kwa jina
 
KQ haiikii
GVVc7H1XAAAIQXP

View: https://x.com/TBoundBuses/status/1825467409567727868

Teargas atakuambia hilo bus limetengenezwa kwa nyang'au😎😎😎
 
They only managed because there were no Kenyan teams in the competition due to FIFA ban😂😂🤣
Timu ya Kenya ya wanawake imefanya nini kama sio kutoa sare na katimu kadogo cha Sudan kusini!??
Kenya hata mngeachiwa hata kama msingekua na FIFA ban kuifikia TZ katika vilabu msingeweza.
Waulizeni DR Congo ambao ndio walikua wakiongoza ukanda huu ni nini tunawafanya sasa hivi.
Je na hao walipewa FIFA ban!???
Hamuishiwi visingizio.
 
So watanzania wanajua nini kuhusu Olympics?😂😂🤣.

Kenyan schools are raping people kule Uganda😂🤣👇👇

View attachment 3075092
Hata Burundi ilifunga Spain katika michuano ya kombe la dunia la watoto.
Je tukija katika michuano mikubwa Burundi anaiweza Spain!??
Leo tulete Spain ya kina Lamine Yamal na Ansu Fati Burundi inatoboa?
 
Nikama decoder zao zinaonyesha channels za Kenya, sijawai kuona any decoder in Kenya inaonyesha any channel from Bongoslum.
Unadata wewe.
Kenya hakuna AZAM TV!??
-Sinema zetu
-Azan two
-Azam one
-Azam sports 1-4 sio channel za Tanzania!???
Ona hii mbusi ya kiambu.
 
Hata Burundi ilifunga Spain katika michuano ya kombe la dunia la watoto.
Je tukija katika michuano mikubwa Burundi anaiweza Spain!??
Leo tulete Spain ya kina Lamine Yamal na Ansu Fati Burundi inatoboa?
So in East Africa which country inatuweza in rugby? Ama unaongea tu because you have freedom of speech?
 
Timu ya Kenya ya wanawake imefanya nini kama sio kutoa sare na katimu kadogo cha Sudan kusini!??
Kenya hata mngeachiwa hata kama msingekua na FIFA ban kuifikia TZ katika vilabu msingeweza.
Waulizeni DR Congo ambao ndio walikua wakiongoza ukanda huu ni nini tunawafanya sasa hivi.
Je na hao walipewa FIFA ban!???
Hamuishiwi visingizio.
So Vihiga Queens ni timu ya Spain?😂😂👇👇

1724185269311.jpeg
 
Unadata wewe.
Kenya hakuna AZAM TV!??
-Sinema zetu
-Azan two
-Azam one
-Azam sports 1-4 sio channel za Tanzania!???
Ona hii mbusi ya kiambu.
To be honest I don't know anyone with an Azam decoder. Hata hio dish yao sijawai kuona in any place in Nairobi.
 
Back
Top Bottom