Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20240820-123053_X.jpg



View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1825772173702680942?t=HR-bD8lZbu2MnZ0boqvkbg&s=19
 
Jamani hawa kundurenda ni wa kuhurumia hivi huku kwetu boda boda na ukorofi wao wanaweza kufanya hivi kweli barabarani kweli
View attachment 3074820
Angalia hapo kabla lami haijaanza, Hapo ndio wanapopata lile jina lao lingine TOPESTAN
Angalia rangi ya lami yao pia, imepewa layer nyingine na wanaotoka kwenye tope 😂.
 
ATCL ikinunuliwa ndege na hazina ya kitaifa ni swa lakini GoK ikilipa Deni ambalo watalipwa kupitia shares sio swa 😂😂😂😂
Ndege ni asset na inaongeza capital ila deni ni liability. Government funds should be invested wisely it is better to let the airline die and start afresh than pumping billions to make it stay afloat.
 
Back
Top Bottom