ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Wisione hii plz 😂😂😂😂
View: https://www.instagram.com/p/C-5hhW-KUIB/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
View: https://www.instagram.com/p/C-5hhW-KUIB/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Sijawai skia hio jina mahali walai. 🤣 🤣 🤣 Kwani hua hapewi airtime.Dr Philip Mpango.
Hata akipewa airtime wewe si ndio umesema hakuna kitu cha Tz kwenye decoder zenu? Do you think I know Gachagua from TBC?Sijawai skia hio jina mahali walai. 🤣 🤣 🤣 Kwani hua hapewi airtime.
Hata hapa jamii forum sijawai kuona hio jina imetajwa.Hata akipewa airtime wewe si ndio umesema hakuna kitu cha Tz kwenye decoder zenu? Do you think I know Gachagua from TBC?
Acha upumbavu weweSure, capital is money or a liquid asset, ndege is not a liquid asset. You can not convert an airplane into quick cash, kuiuza can consume time. Elimu ya bongo ni upuzi sana. 🤣 🤣 🤣
Atajua wapi na wao ndio wanaojenga maghorofa yanayoanguka kila kukicha 🤣🤣🤣🤣Ever heard of capital goods.?
Ok tupe definition ya capital basi tuokoe muda.The term in contention is Capital not Capital Goods.
Hii lazima irudi au AU ifanye kuwaokoa nyang'au kama ilivyofanya EU kwa greece kwa kuibailout,na iko kitu kwa afrika yetu haiwezekani,kundustan ishafilisika ndio maana mwanzoni mwa uongozi wa ruto alishindwa hadi kulipa mishahara hadi akakopa,kundustan ni failed state finance bill inawahusu watake wasitakeFinance bill imerudi? @ WakenyaView attachment 3074953
Elimu jombaa ndio shida +254 🤣🤣🤣🤣Mwambie Topic ya kwanza kabisa ya kujifunza Accounting huwa inaanzia kwenye Financial Position
Basic:
Asset = Capital
Then tunaendelea kama ifuatavyo
Asset = Capital + Liabilities
Baada ya kufanya biashara na kupata faida au hasara:-
Asset = Capital + Liabilities + Retain Earning
Retain Earning = Revenue - Expenditure
Finally:
Asset + Expenditure = Capital + Liabilities + Revenue
DR ----------------- CR
Hii ndiyo introduction to Accounting
Niliposikia wale gor mahia wamefungwa na el merreikh nikajua ile ya north sudan kumbe ni merreikh ya sudan kusini 😂Kenya Football League is underdog
Kizungu chao cha ugoko kitawatokea puani; karibuni watajua hawajui😎😎...kundustan ni failed state finance bill inawahusu watake wasitake
By CAF!The only competition known by CUF:- Mashindano yalifanyika Zanzibar
The games have rules
View attachment 3075097
Hata mimi nilifikiri ni wale Wasudan kumbe Bentiu 🤣🤣🤣🤣Niliposikia wale gor mahia wamefungwa na el merreikh nikajua ile ya north sudan kumbe ni merreikh ya sudan kusini 😂