Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vyombo vya habari vya kenya haviwezi tangaza hii habari.

Wao wanatangaza mabaya tu ya Tanzania ili wazidi kuwapumbaza wakenya na kujiona they are far better in the region😂
subiri Treni ya umeme ikwame uone inavyoandikwa habari kwa kuirudiarudia siku nzima
Why are you always looking for Kenya's approval? Yani mmezungukwa na nchi nane ila ni Kenya tu inayowasumbua kisa haishighuliki na mambo yenu?😂😂
 
Watasema tumenunua used 🤣🤣🤣🤣
20240820_205505.jpg
20240820_205511.jpg
20240820_205504.jpg
 
Why are you always looking for Kenya's approval? Yani mmezungukwa na nchi nane ila ni Kenya tu inayowasumbua kisa haishighuliki na mambo yenu?😂😂
Make no mistake vumbistan wana consume sana media zetu, unapata wanaangalia habari za Citizen badala ya TBC. Unakuta wanajua county zetu zote 47 na majina ya ma governors. Kuna siku citizen waliweka headline ya ukaidi wa magufuli dah balaa, embassy yao walikuja na hasira kwamba wamedhalilishwa 😂😂
 
Nikama decoder zao zinaonyesha channels za Kenya, sijawai kuona any decoder in Kenya inaonyesha any channel from Bongoslum.
 
Back
Top Bottom