Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How about this steam powered machine which you snatch from Spain museum!?

Screenshot_20240813_120257.jpg
 
So fufa
Nilikueleza,tizama hapo TZ inaonesha kuongeza point za Fifa kila mara ila wewe hauna point zinazoongezeka.
Wewe kaa na endelea kuendekeza HISTORIA.View attachment 3068184
So FIFA ranking ni historia? Thanks for confirming to us that you are at position 113 in the world and that tupo mbele yenu
 
Nini inaonyesha ako bora when he doesn’t have any trophy to show😂😂🤣
😂😂😂😂😂😭😭🍆🍆🍑🍑Kuku wewe ungekuwa karibu ningekupiga konzi.
We huoni level ni tofauti!?
Champions league Na conference league je ni level sawa!?
Moja level ya mabingwa nyingine level ya ligi daraja la kwanza.
 
Kenya is still ahead of Tanzania in FiFA ranking😂😂🤣
Kalieni HISTORIA bado gap la nafasi 6 mwaka jana mlituzidi nafasi 11 katikati sasa zimebaki nafasi 6,na huo mshale wa kijana unaonesha progression ya Tanzania ilhali ninyi hamkusanyi point yeyote.
 
Then why do they have a bigger GDP thrice that of Tanzania?😂😂🤣🤣.

Tanzania is among the poorest and backward countries in the world yet you are opening that hou stinking mouth talkinb about Ethiopia😂😂
Ethiopia ni taifa linaloongoza kuwa na wakimbizi baada ya Somalia hapa East Africa,hata bajeti yao ni takriban 70% wanachangiwa na WB/IMF.
Ethiopia kuna njaa kali kuliko Somalia.
Kila mwaka wanakamatwa hapo mpakani wakiingia TZ ndani ya malori kama magunia ya mpunga walivyoswekwa.
Mji pekee uliojengeka Ethiopia ni ADDIS peke yake.
Hawana mji mwingine mzuri hao.
Hata wana uchumi wanasema GDP sio kigezo sahihi cha kupima uchumi.
Viongozi wao walikuja hapa mfululizo kuanzia 2022 hadi mwaka huu walikuja hapa wakisema wanataka kujifunza namna ya uongozi bora maana Tanzania ni sleeping giant ila WATU wanaishi vizuri.
 
Mzee Ethiopia kuna vita na wana raia mara mbili ya Tanzania unatarajia Kwanini wasisepe nchi yao. Tulikafanya comparison ya Nchi kwa Nchi vumbistan ni taifa dogo kwa Ethiopia.
Fanya safari uinge ukurasa wa Ethiopia kule skyscrapercity utajua kwanini. Tanzania ndio nchi ya mji mmoja
(city state)
 
Back
Top Bottom