Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I have read the comments. Real Thinking Tanzanias would prefer a diesel electric train 🚃 that will never go off like the Kenyan SGR
Capt Richie Teargas

Tanzania's SGR ndio kwanza iko kwenye elementary stages za commissioning. Hapa SGR yetu ikiwa imepewa real load "Abiria" kuangalia na kufuatilia kwa karibu tabia za mfumo mzima wa Reli "Trend". Ndio maana utaona kila baada ya siku kadhaa kuna tatizo linatokea USIKU. Halafu ndio twende kwenye Operational and Occupancy Commissioning then tuende kwenye warranty phase. Mradi mpaka sasa liability ipo kwa mkandarasi.

Ndio mjifunze utofauti wa SGR kati ya Stima na Kerosene. High speed train sio jambo dogo nala mchezo mchezo. Nyie kaeni mbali mjifunze.
 
Nyang'au hawataki kukubali kuwa Uhuru aliwapiga kisawasawa kwenye mradi wa sgr yao😎😎
 
Zile mali kobe zao sasa

Ushamba mzigo kweli... Tatizo hapo sio treni ni za mtumba... Ila njia ya treni ndio ina changamoto.

Kipande cha kuanzia Morogoro to Makutopora kuna shida kwenye signalling systems. Inakitajika kuongeza substations ili ku maintain standardised power and signal.
Mjiulize kama treni ndio mbovu mbona hazikwami kwenye njia ya DSM to Moro? Inakwama tu kutoka Moro to Dom.. Soon mambo yatakuwa fixed
Usipoteze muda wako na wapumbavu. Suala la treni lishaisha.
 
Capt Richie Teargas

Tanzania's SGR ndio kwanza iko kwenye elementary stages za commissioning. Hapa SGR yetu ikiwa imepewa real load "Abiria" kuangalia na kufuatilia kwa karibu tabia za mfumo mzima wa Reli "Trend". Ndio maana utaona kila baada ya siku kadhaa kuna tatizo linatokea USIKU. Halafu ndio twende kwenye Operational and Occupancy Commissioning then tuende kwenye warranty phase. Mradi mpaka sasa liability ipo kwa mkandarasi.

Ndio mjifunze utofauti wa SGR kati ya Stima na Kerosene. High speed train sio jambo dogo nala mchezo mchezo. Nyie kaeni mbali mjifunze.
Unapigia mbuzi gitaa.
 
Nimeangalia hizo reply kwa hiyo tweet Nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lakini situlisema hapa, Dar es Salaam nzima inasonga kwa jenereta, hivi burret Traini itasonga kwa jenereta!?

Nakumbuka CCM wakuambia watanzania eti..

"Yaani dude hili mnaviioliona ni next gen, latumia umeme, ila kwa uzuri, lina wakazi hifadhi moto wakulipeleka kwa saa nzima, tena lina uwezo wa kuswitch likatumia diesel ikibidi..."

Sasa ona.
View attachment 3068108View attachment 3068109View attachment 3068111
Saa hii wanatamani trains za diesel😂😂🤣
 
Ona huyu kuku sijui anazungumza nini!
Au huelewi kusoma!?
Nachomaanisha yule aliyefika robo fainali kombe la Uefa champions league ni bora kuliko aliyefika fainali na kubeba kombe la Conference league.
Kwasababu level tofauti,hapo nadhani itakua umeelewa.
Nini inaonyesha ako bora when he doesn’t have any trophy to show😂😂🤣
 
Capt Richie Teargas

Tanzania's SGR ndio kwanza iko kwenye elementary stages za commissioning. Hapa SGR yetu ikiwa imepewa real load "Abiria" kuangalia na kufuatilia kwa karibu tabia za mfumo mzima wa Reli "Trend". Ndio maana utaona kila baada ya siku kadhaa kuna tatizo linatokea USIKU. Halafu ndio twende kwenye Operational and Occupancy Commissioning then tuende kwenye warranty phase. Mradi mpaka sasa liability ipo kwa mkandarasi.

Ndio mjifunze utofauti wa SGR kati ya Stima na Kerosene. High speed train sio jambo dogo nala mchezo mchezo. Nyie kaeni mbali mjifunze.
In one month your refurbished trains have already stalled 5 times😂😂🤣
 
Addis Ababa.

Hapa ungeskia wachawi wakisema kama Ulaya mwanangu😂😂🤣🤣😂

1723497550212.jpeg
 
Back
Top Bottom