Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nadhani jamaa atakuja na vitu kama camera quality, internet speed, durability, screen resolution, processor, battery life, fast charging, design n.k jamaa ananiletea sales. 😂😂😂
Kwani hukuelewa maelezo yangu!?
Mtu anapokwambia simu bora kiufanisi huwa anamaanisha nini!?
Ni nini maana ya ufanisi wa simu!?
Bro huwa unajikuta unajua ila ni mweupe sana.
Nimekutolea mpaka mfano wa Huawei kwanini zilipaa kimauzo.
Features za simu ni zipi kama sio hizo ulizotaja!?
Aiseee we ni kichaa.
 
Ukunyani kote hamna mchezaji kama Duke! Thats all what u get that can qualify playing within Tanzanian league! Wengine wamejaa funza huko kwenu!
Duke was a benchwarmer in Kariobangi Sharks, jiulize why the likes of Gor Mahia and AFC Leopards never signed him🤣🤣😂
 
Kikosi chetu cha leo vs Azam.
IMG-20240811-WA0012.jpg
 
Duke was a benchwarmer in Kariobangi Sharks, jiulize why the likes of Gor Mahia and AFC Leopards never signed him🤣🤣😂
Utatuletea Takataka ya clubs. Wachezaji wenu huko wote ndoto yao ni kucheza Tanzania. Ypu know why Tanzanian Premier League is best more than 100 ya Kenya.
 
Utatuletea Takataka ya clubs. Wachezaji wenu huko wote ndoto yao ni kucheza Tanzania. Ypu know why Tanzanian Premier League is best more than 100 ya Kenya.
Only benchwarmers and rejects want to play in Tanzania.
 
Anatarajia vitu expensive to sale quantity like cheap products. Fala yeye😂😂
iPhone 15 na Samsung S24 ultra na Z fold 4 ndio most expensive phones Na ndio zinaongoza kwa mauzo kuliko simu zote duniani.
Ni kwasababu zina best features katika camera,durability,software kiujumla.
Na ndio maana ukisema upande simu bora top 5 utapanga Samsung,iPhone,Oppo,Xiaomi,vivo.
Interms of best features.
Hata hiyo Oppo simu zake zinazoongoza kwa mauzo ni zile za bei mbaya muundo wa RENO ambapo zinaanzia laki 8 za kitanzania.
Simu sio kama gari kijana.Simu zile zenye features nzuri ndizo zinazoongoza kwa mauzo na lazima zitakua ni bei kubwa.
Mfano iPhone 15 au Samsung S24 Ultra.
 
Wanasema hatujui Mpira yet we defeat them anytime Kenya meets Tanzania😂😂🤣

Ati Kenyan reject is now the superstar and face of Tanzanian league 😂😂

View attachment 3066649
Hatukatai Duke Abuya ni mchezaji bora sana pale Jangwani.
Ila ni uwekezaji uliowekwa Yanga ndio umemfanya Duke Abuya awe mchezaji bora.
Pia hayupo katika first eleven,Duke Abuya ni substitute ya Khalid Aucho.
Pia hii inaonesha jinsi gani ligi ya Tanzania imekua hadi wachezaji mbalimbali wa mataifa ya nje ikiwemo COLOMBIA wanakuja kucheza Tanzania.
 
Nachukia sana hii "Geneva of Africa". Kwa nini Arusha isiwe nyumbani kwa mashujaa wa kimasai, hawa watalii hawaji kuiona Geneva hapo, bali vivutio vingi ikiwemo wamasai.
Ni upumbavu mtupu uliotumika kuweka hayo maneno hapo, kisa Clinton alisema hivyo na huwenda in mockingly ndio tumechukua kama nickname kitu ambacho sio sahihi
 
Hatukatai Duke Abuya ni mchezaji bora sana pale Jangwani.
Ila ni uwekezaji uliowekwa Yanga ndio umemfanya Duke Abuya awe mchezaji bora.
Pia hayupo katika first eleven,Duke Abuya ni substitute ya Khalid Aucho.
Pia hii inaonesha jinsi gani ligi ya Tanzania imekua hadi wachezaji mbalimbali wa mataifa ya nje ikiwemo COLOMBIA wanakuja kucheza Tanzania.
So you think Tanzania is the only country with foreign players? Akili za kipumbavu hizi😂😂
 
Back
Top Bottom