SGR imekwama tena😂🤣🤣
NairobiWalker hii ndio mkebe walitaka kulinganisha na Kenyan SGR😂😂🤣🤣👇👇👇
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1823033809685955045
Nimeangalia hizo reply kwa hiyo tweet Nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lakini situlisema hapa, Dar es Salaam nzima inasonga kwa jenereta, hivi burret Traini itasonga kwa jenereta!?
Nakumbuka CCM wakuambia watanzania eti..
"Yaani dude hili mnaviioliona ni next gen, latumia umeme, ila kwa uzuri, lina wakazi hifadhi moto wakulipeleka kwa saa nzima, tena lina uwezo wa kuswitch likatumia diesel ikibidi..."
Sasa ona.
View attachment 3068108View attachment 3068109View attachment 3068111
Umebakiwa na madumu mangapi hapo ghetto kwako!! Lile pipa lako ushajaza?? Au umebakiwa na jaba moja Tu ndo unaringa!!🤣🤣Mji gani? Mbona mimi Niko na maji Kwangu?
Tuanze kwako, nyumba yako ina plumbing na maji???Umebakiwa na madumu mangapi hapo ghetto kwako!! Lile pipa lako ushajaza?? Au umebakiwa na jaba moja Tu ndo unaringa!!🤣🤣
I have read the comments. Real Thinking Tanzanias would prefer a diesel electric train 🚃 that will never go off like the Kenyan SGRNimeangalia hizo reply kwa hiyo tweet Nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lakini situlisema hapa, Dar es Salaam nzima inasonga kwa jenereta, hivi burret Traini itasonga kwa jenereta!?
Nakumbuka CCM wakuambia watanzania eti..
"Yaani dude hili mnaviioliona ni next gen, latumia umeme, ila kwa uzuri, lina wakazi hifadhi moto wakulipeleka kwa saa nzima, tena lina uwezo wa kuswitch likatumia diesel ikibidi..."
Sasa ona.
View attachment 3068108View attachment 3068109View attachment 3068111
So huu ndio ushahidi wako 🤣🤣🤣🤣🤣Niliwaambia wameuziwa mitumba na hawaskii. Within one month the train has already stalled 5 times😂😂🤣👇👇
View attachment 3068083
Is SA in central Africa or East Africa?Nimekuuliza kama KIRDI iko South Africa 😂😂
Ona huyu kuku sijui anazungumza nini!Kwani siku hizi kuna Kumbe la kufika robo finali?😂😂🤣
Mkenya anakenua Tu kwa furaha 🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/p/C-kIUdyMxui/?igsh=aGowd3BvNTBmYmN6
Nilikueleza,tizama hapo TZ inaonesha kuongeza point za Fifa kila mara ila wewe hauna point zinazoongezeka.Mko number ngapi kwenye FIFA ranking?🤣🤣🤣