Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Westlands at night. Look how tall 1870 West Tower is.

is

Image
 
Ni kichaa na wazimu tu vinakusumbua.
Hata wewe Shakahola na njaa zako hujawahi kufikiria kwenda kuishi huko. Hamna kitu Ethiopia nzima. Ehiopian Air is the only thing they got it so right. Addis ni hovyo na uhovyo wake, ndiomji pekee Ethiopia.
Then why do they have a bigger GDP thrice that of Tanzania?😂😂🤣🤣.

Tanzania is among the poorest and backward countries in the world yet you are opening that hou stinking mouth talkinb about Ethiopia😂😂
 

Attachments

  • 1723499424995.png
    1723499424995.png
    1.7 MB · Views: 8
Nimeangalia hizo reply kwa hiyo tweet Nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lakini situlisema hapa, Dar es Salaam nzima inasonga kwa jenereta, hivi burret Traini itasonga kwa jenereta!?

Nakumbuka CCM wakuambia watanzania eti..

"Yaani dude hili mnaviioliona ni next gen, latumia umeme, ila kwa uzuri, lina wakazi hifadhi moto wakulipeleka kwa saa nzima, tena lina uwezo wa kuswitch likatumia diesel ikibidi..."

Sasa ona.
View attachment 3068108View attachment 3068109View attachment 3068111
Dar ya magenerator ni ya Nairobi?
 
Back
Top Bottom