Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee Ethiopia kuna vita na wana raia mara mbili ya Tanzania unatarajia Kwanini wasisepe nchi yao. Tulikafanya comparison ya Nchi kwa Nchi vumbistan ni taifa dogo kwa Ethiopia.
Fanya safari uinge ukurasa wa Ethiopia kule skyscrapercity utajua kwanini. Tanzania ndio nchi ya mji mmoja (city state)
Ona ulivyo kuku 😂😂😂😂.
Ethiopia ina vita gani!?
Vita au mapigano ya makabila!?
Unaijua vita wewe bro!?Hiyo Misri ilikua na mapigano ya ndani lakini haikushuka kiuchumi.
Ethiopia ni taifa la watu masikini hivyo vimapigano vya Oromo na Amhara sio vya kushusha uchumi.
Vita Ziko Yemeni huko bana.
Ethiopia inakimbiwa kwasababu ya ukosefu wa ajira na balaa njaa.
 
So fufa

So FIFA ranking ni historia? Thanks for confirming to us that you are at position 113 in the world and that tupo mbele yenu
Nadhani ushanielewa ila unakaza fuvu.
Mark my word mwaka jana tulikua wa 119 sasa hivi wa 113 wewe ukiwa hapo hapo tena ulishuka kutoka 107 mpaka 108.
We are coming to get you.
 
Vinakwama alikwambia Nani Sijaona taarifa yoyote so far yakukwama kwa treni Jana wala juzi haya hebu tuambie hio taarifa anakwambia Nani Maria sarungi 🤣🤣🤣🤣
Chanzo chake kikuu ni cha hopeless people kama wao kina MARIA MIRUNGI.
 
You sure kijana?

Kama Duke ni benchwarmer aliitwaje Harambee akitokea IHEFU?
Waseme na Joash Onyango je alikua haitwi Harambee?
Yani Ivory coast imuite Djigui Diarra awe kipa namba moja na kumuweka benchi kipa anayecheza Ulaya sembuse huyo Mkenya wa hapo Harambee stars!?
Kalio la nyani huyo.
 
Celebrating some useless past glory 😀😀😀
Kujeni sasa hivi tujipigie nje ndani.
So the last encounter is history? We beat you everytime we meet and you're talking about history.🤣🤣🤣
It would be history we used to beat you in the 90s and 2000s and you've been beating us in the 2020s and 2010s. But you've never consistently beaten us. This is not history, this is the reality.
 
2020s ipi nyie wapumbavu mliowahi kutufunga.? 😂😂😂
 
So the last encounter is history? We beat you everytime we meet and you're talking about history.🤣🤣🤣
It would be history we used to beat you in the 90s and 2000s and you've been beating us in the 2020s and 2010s. But you've never consistently beaten us. This is not history, this is the reality.
Reality, and the reality for now is you are nowhere to be seen, you don’t even have a stadium , lately playing home games in Malawi, Reality.
 
Sasa umeruka umetoka kwa strength of team umeingia kwa stadium? 🤣🤣🤣 Signs of being beaten. Do I need to remind you we are building the most modern stadium on the continent? Only at par with 3 of the best SA stadium?
 
Labda kama huu uwanja haujengwi EA 👇🏾
IMG_0632.jpeg
IMG_0633.jpeg
 
Sasa umeruka umetoka kwa strength of team umeingia kwa stadium? 🤣🤣🤣 Signs of being beaten. Do I need to remind you we are building the most modern stadium on the continent? Only at par with 3 of the best SA stadium?
Continent 😀😀😀
What is the budget for your Chinese funded stadium .
 
Back
Top Bottom