Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unasahau jamaa amekuwa Tanzania since 2019?😂😂🤣 Hiyo Kuparara unaona ni mateso ya Tanzania🤣🤣😂😂🤣
Wewe upo Kenya tangu kuzaliwa na haujawahi kutoka hapo hata kwa bahati mbaya, na upo hivi 👇👇
Screenshot_20240613-113330~2.png

Inakuwaje Abuya abadilike ndani ya muda mchache? Nimekuambia atabadirika tu, kwenu maisha ni magumu sanaa, nmekuambia mwache jamaa ale mema ya nchi na atabadirika kama wenzake.
 
Celebrating some useless past glory 😀😀😀
Kujeni sasa hivi tujipigie nje ndani.
Nyinyi hamjui football nyamaza. Hata mkipewa team Z ya Harambee Stars bado itatwanga tu Taifa Stars😂😂🤣
 
Wewe upo Kenya tangu kuzaliwa na haujawahi kutoka hapo hata kwa bahati mbaya, na upo hivi 👇👇View attachment 3068351
Inakuwaje Abuya abadilike ndani ya muda mchache? Nimekuambia atabadirika tu, kwenu maisha ni magumu sanaa, nmekuambia mwache jamaa ale mema ya nchi na atabadirika kama wenzake.
Watchman tangu lini ukajua mambo ya maisha mazuri?😂😂🤣
 
Back
Top Bottom