Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Can I have land pricing ya hapo nilipobold? make sure lipo NBO

Tafadhali na pia kumbuka tunaongelea general population affordability and choice.

Huo uswazi unaouona ni nyumba za style of 80s walishindwa kuzimaintain I can show you they can be turned to something wakiamua.

View attachment 3064289

Can you notice walivyoongeza na kubalance juu kua Contemporary?

View attachment 3064291

That's the reality yes nakubali kuna maeneo mipango miji ilifanya makosa makubwa kuruhusu ujenzi holela.

The thing is mnavyobrag kuwa EA powerhouse tulitegemea hadi Mkenya wa chini awe na what you bragging. Ila kuona nyumba ya Bati ni nyumba asee,

If you say mkenya anaweza buy ardhi weka pricing tuone sidhani kama kuna mtu anapenda kuishi kwa slums akiwa na uwezo.

But mnafahamika kuwa na slums in the world (which imeharibu your bragging mpaka tuone mnatupiga kamba).
Ila hizi structures zina-encroach service road mamlaka inapaswa izivunje! Ni ujenzi holela!
 
Hata Hawa wanafanya watakavyo. Wanamiliki land na nyumba ndani ya Dar es Salaam
View attachment 3063316

You see, these people have their own hekalus as you call it. They own the land and the houses and are very proud of it. They have freedom coz eneo lote ni lao na wanafanya watakavyo.

Green, spacious lawns, lots of tree cover, very minimal interference from neighbours if any and they enjoy all the amenities that come with good living. That's the beauty of being a landowner in Dar and building your dream house that meets your specifications. Doesn't come close to owning a house in an apartment block and this is how it looks like almost everywhere. Life is really good in Dar

Yawn!!!
Shida yako umekariri kama akili yako imekaa chang'ombe basi.kubali Kenya nzima ipo kibera.
 
Umekimbia kuwithdraw pesa za demu wako upige picha kisa umeoneshwa Camera za bei. Alafu pesa zenyewe madafu. Hiyo noti ya 10k hapa kenya ni 500. Hizo pesa zote hazifiki 50k za Kenya alafu unalinganisha na bei ya DJI OSMO Pocket 3. Hivi unajua bei ya hiyo Camera. Alafu hizo ni savings zako zote, camera yake ni kitu cha leisure tuu, yani kile kitu ananunua tu kujifurahisha. Leo umesumbuliwa sana, sidhani utalala vizuri leo. 🤣 🤣 🤣
Pesa niliyoweka ni 1.7 million , how much is it in kenyan money.? 😂😂😂😂 camera ni kitu Chenye he can’t buy it everyday, but I everyday earning money 💰. 😂😂😂😂 Nitapost pesa hapa ndani kila siku to them he’s just very poor to me.
 
Can I have land pricing ya hapo nilipobold? make sure lipo NBO
Mbona likuwe Nairobi? Ni kipi unaogopa? 🤣 🤣
Si kila siku tunawaambia humu Dar City ni kubwa kuliko Nairobi city kisa Dar City boundaries ni pana ila ukichukua built up metropolitan area Nairobi ni kubwa na kila siku mnakataa, sasa mbona tukiwaonesha sehemu za Nairobi Metropolis ambazo hazipo within Nairobi County mnaogopa? Yet hizo sehemu zimejengwa na kupangika vizuri kuliko mitaa yenu ya kifahari.

Kwa sasa jiji la Nairobi limekuwa sana. Within Nairobi kupata shamba ni vigumu na shamba lenyewe ni expensive na ukipata huwezi ukajenga mansion maanake haitamake economic sense. Wanaonunua mashamba within Nairobi ni developers na akinunua shamba lililo na mansion, hiyo mansion inakula nyundo panajengwa apartment ya 20 floors. Hapo Kilimani miaka 15 nyuma palikuwa mansions tupu, sahii ni apartments. Ukitaka kujenga mansion kwa sahii lazima uende nje ya Nairobi County. Na nikisema nje ya Nairobi County usidhani ni mahali pa ovyo. Ni mahali kama Kahawa Sukari, Membley, Kitengelea n.k ambapo kwa mipangilio na miundo mbinu pameshinda estate zenu za kifahari zilizo within Dar kama Mbezi na Mbweni.
Bei ya shamba sio sawa kila mahali, bei inalingana ni wapi unanunua shamba na miundombinu ya hiyo sehemu iko vipi. Kwa sasa wanaotaka kujenga mansions Nairobi wananunua mashamba sehemu za mbali kama Lukenya, Isinya, Juja, Kiserian, Limuru n.k na za karibu kama Membley, Syokimau, Kahawa Sukari, Tatu City n.k. Bei ya shamba inavary kuanzia KES 500K - KES 5M kwa ploti ya 50 x 100ft. Ndani ya Nairobi bei ipo juu sana kwa sababu huwezi pata ploti ambayo haina nyumba na pia miundombinu iko sawa na kuna ukaribu wa CBD. Hapa ukinunua shamba unanunua na nyumba iliyoko ndani yake uipige nyundo ujenge apartment yako ya 20 floors uuze. Bei utapata kuanzia millioni 20 kuendelea.

Tafadhali na pia kumbuka tunaongelea general population affordability and choice.
Hata shamba likiuzwa shillingi elfu 20 bado kuna watu ambao hawatoweza kuafford. Humu humu most of you guys don't own land in Dar yet I believe you're among the better off Tanzanian.

Huo uswazi unaouona ni nyumba za style of 80s walishindwa kuzimaintain I can show you they can be turned to something wakiamua.
You're simply explaining why your city is poorly planned, you're not denying it kwa hivo umekubaliana nami.

View attachment 3064289

Can you notice walivyoongeza na kubalance juu kua Contemporary?
Nyumba yoyote inaweza ikakuwa improved. That doesn't change the fact that 80% of your city consists of poorly constructed structures.

View attachment 3064291

That's the reality yes nakubali kuna maeneo mipango miji ilifanya makosa makubwa kuruhusu ujenzi holela.

The thing is mnavyobrag kuwa EA powerhouse tulitegemea hadi Mkenya wa chini awe na what you bragging. Ila kuona nyumba ya Bati ni nyumba asee,
We are the EA powerhouse, that's true. We have poor people, that is also true. Even South Africa is the African powerhouse na wana nyumba za bati. Even France and US kuna nyumba za bati.
If you say mkenya anaweza buy ardhi weka pricing tuone sidhani kama kuna mtu anapenda kuishi kwa slums akiwa na uwezo.

But mnafahamika kuwa na slums in the world (which imeharibu your bragging mpaka tuone mnatupiga kamba).
Hili ni lenu mnalofosi otherwise Kenyan cities just have as many slums as the ordinary third world city but if you keep on deceiving yourself that Kibera, a tiny place of 2.5 sq. km has 2 Million people despite being proved wrong a million times you will live your life believing Nairobi is the capital of slums.

Hii video, nilikuwa nimeenda Syokimau kutafuta shamba la kununua nijenge. Nilikuwa nauziwa 800k per 40 x 80ft. Nilikuwa nimechukua ploti mbili (KES 1.6M) nikalipa 10% (160k) ila baadae hatukuelewana na mwenye alikuwa ananiuzia ikabidi anirudishie pesa yangu. Hili ni eneo ambalo 10 years ago waliishi wild zebras yet kwa sasa limejengeka mamansion tupu ukiangalia kwa horizon unaziona.


 
Wewe unatumia gani? Mbona hujajibu swali?😂😂
After nimepost alipotea the whole of yesterday ndio amerudi sahii. Bado anatafuta mtu mwenye simu kali kama hiyo apige screenshot apost. Usitegemee apost sahii. Ametafuta akakosa. 😂😂

Na nina uhakika hata haijui hiyo Google Pixel Pro. Maanake mtu anayejua masimu anajua hiyo ni miongoni mwa simu za maana ulimwenguni.
 
Nishawai post humu picha yangu nikiwa China. Wenye waliiona waliiona. Ukitaka nyengine nitapost tu kwani Iko Nini. Huyu hapa Mimi nikizuru mbuga za wanyama za Tsavo na Amboseli. Hiyo Camera uionayo inaitwa Sony A71V. Lens yake ni
Sony FE 24-105mm f/4 G OSS. Bei yake imeshinda mshahara wako wa mwaka mmoja and that is kama una mshahara at all sababu numemsikia Teargas mara nyingi akisema unamtegemea demu Fulani hapo Tandale. Hiyo camera nikiinunua ilikuwa shilingi 400k za Kenya, sijui sahii imefika ngapi. Lens niliinunua na 200k za Kenya. Unaweza ukaangilia Bei zake mtandaoni kwa Sasa. Wewe endelea kukaa hapo Tandale ukijilinganisha na watu ambayo lunch yao itakulisha mwezi mzima

Sio lazima uwe fala. There's nowhere air bridges is needed by an airport in order to accommodate an A380 aeroplane. As long as the runway is 3000m and above, that's enough.

View attachment 3064150
Jifariji unavyoweza lkn a380 haitotua JKIA na haijawahi, itaendelea kutua JNIA, pole kwa maumivu.
 
Back
Top Bottom